Wewe na njaa yako kipi kinakukataza au kukuzuia kwenda kumtembelea?Huyu mama leo amemtembelea Lissu hospitali Nairobi na kuwa kiongozi wa kwanza wa Serikali ya Magufuli kumtembelea
Lissu.
P
Acha hizo braza ...."Msalimie mh Rais mwambie nashukuru"
Mkuu Mwifwa , kwa vile hatujuani, usishadadie kuita watu njaa, ukidhani ndio wana njaa kihivyo hadi kudhani napiga vigelegele ili nineemeke kama Bashite, no way, ikitokea tukafahamiana, nadhani tutaheshimiana humu jf, msidhani kwa kila mtu uteuzi ndio big deal sana kivile!.Wewe na njaa yako kipi kinakukataza au kukuzuia kwenda kumtembelea?
Unadhani usipoenda ndio utapata uteuzi? Hahahaaaa huenda una Damu ya kunguni aisee.
Utaishia kusifia na kupiga vigelegele kila siku aisee, huku Bashite na wengine wakineemeka tu.
Fanya mambo ya kiuungwana, leo unapumua ila kesho anayejua ni huyu aliyekuleta kwenye uso wa Ardhi.
Poa kwa kujitanabaisha kuwa huna njaa.Mkuu Mwifwa, kwa vile hatujuani, usishadadie kuita watu njaa, ukidhani ndio wana njaa kihivyo hadi kudhani napiga vigelegele ili nineemeke kama Bashite, no way, ikitokea tukafahamiana, nadhani tutaheshimiana humu jf, msidhani kwa kila mtu uteuzi ndio big deal sana kivile!.
Kwa taarifa yako tuu, tafuta mtu wa NHC, malipo, ulizia mtu anayeitwa Pascal Andrew Mayalla ni mpangaji wa jingo la NHC ambayo ndio ofisi yangu ya PPR, jingo hilo liko mjini kati, find out nalipa kodi ya pango kiasi gani kila mwezi, ukiishajua hicho kiwango, fanya utafiti mshagara na marupurupu yote ya DC kwa mwezi ni kiasi gani, halafu uambiwe huyu mtu anautafuta u DC, for what my God?!.
Tafuta mtu wa TRA upande wa VAT, fanya search ya Tin No. ya Pascal Andrew Mayalla, find out analipa kodi kiasi gani kila mwenzi, halafu linganisha na mshahara wa DC!.
Pata mtu wa kitengo cha madinga pale TRA search Pascal Andrew Mayalla anamiliki ndinga ngapi, then zifanyie estimates kwa mshahara wa DC itamchukua mishahara ya miezi mingapi?.
Tembelea portal ya PPRA, search kampuni ya PPR imekamata tenda ngapi za kiasi gani, kabla ya ujio wa Magufuli, kisha linganisha na mshahara wa DC, upige hesabu DC atafanya kazi miaka mimgapi kufikia kiasi hicho!.
Tuheshimiane wandungu, tusidhalilishane kwa kudhani kila mtu anasaka uteuzi na hapo bado sijakueleza ninaishi wapi na maisha gani.
Paskali
Mkuu Mwifwa, kwa vile hatujuani, usishadadie kuita watu njaa, ukidhani ndio wana njaa kihivyo hadi kudhani napiga vigelegele ili nineemeke kama Bashite, no way, ikitokea tukafahamiana, nadhani tutaheshimiana humu jf, msidhani kwa kila mtu uteuzi ndio big deal sana kivile!.
Kwa taarifa yako tuu, tafuta mtu wa NHC, malipo, ulizia mtu anayeitwa Pascal Andrew Mayalla ni mpangaji wa jingo la NHC ambayo ndio ofisi yangu ya PPR, jingo hilo liko mjini kati, find out nalipa kodi ya pango kiasi gani kila mwezi, ukiishajua hicho kiwango, fanya utafiti mshagara na marupurupu yote ya DC kwa mwezi ni kiasi gani, halafu uambiwe huyu mtu anautafuta u DC, for what my God?!.
Tafuta mtu wa TRA upande wa VAT, fanya search ya Tin No. ya Pascal Andrew Mayalla, find out analipa kodi kiasi gani kila mwenzi, halafu linganisha na mshahara wa DC!.
Pata mtu wa kitengo cha madinga pale TRA search Pascal Andrew Mayalla anamiliki ndinga ngapi, then zifanyie estimates kwa mshahara wa DC itamchukua mishahara ya miezi mingapi?.
Tembelea portal ya PPRA, search kampuni ya PPR imekamata tenda ngapi za kiasi gani, kabla ya ujio wa Magufuli, kisha linganisha na mshahara wa DC, upige hesabu DC atafanya kazi miaka mimgapi kufikia kiasi hicho!.
Tuheshimiane wandungu, tusidhalilishane kwa kudhani kila mtu anasaka uteuzi na hapo bado sijakueleza ninaishi wapi na maisha gani.
Paskali
Haiwezi kutokea na haitotokea.Pascal mkaribishe mwifa nyumbani aone bungalow aje apate juice apige na selfie
Kwa vile hapa nimemsifu Mama Samia, sasa na mimi ndio nimekuwa CCM?, na kwa vile mwanzo ulisema natafuta uteuzi, find time pitia hizi baadhi ya nyuzi zangu, uonione jinsi ninavyoisifia na kuitetea CCM na rais Magufuli ili nikumbukwe nipate uteuziBack to the topic, wewe ukiwa huku kwenye viunga vya Lumumba.
kwenu Wana Lumumba?
Ninyi ni wanafiki haijawahi kutokea, mnakataza jambo akilifanya miongoni mwenu
Sasa mnachokifanya kumchafua huo Balozi ilihali ninyi wenyewe ndio mlimuwekea kikwazo ili asiende hamuoni ni wanafiki.
Watu kama nyinyi ndio huwa nawependa, masikini jeuri!, unashauriwa usitukane wakunga na uzazi ungalipo, au usimchinje mfuga mbwa, wazimu utakurudia!, just be nice to people on your way up, you may meet them on your down, heshimu watu wote, huwezi kujua ni nani atakusaidia kesho!.Haiwezi kutokea na haitotokea.
Labda Mwifwa mwingine ila sio mimi!
Kichwa cha uzi/habari sio lazima kisadifu yaliyomo.Kwa vile hapa nimemsifu Mama Samia, sasa na mimi ndio nimekuwa CCM?, na kwa vile mwanzo ulisema natafuta uteuzi, find time pitia hizi baadhi ya nyuzi zangu, uonione jinsi ninavyoisifia na kuitetea CCM na rais Magufuli ili nikumbukwe nipate uteuzi
Hivi Kweli Kuna Mtanzania, Mwenye Akili Zake Timamu, Anaweza Kuichagua Tena CCM?!. Kwa Lipi?!.
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
Serikali ya CCM, Yapewa Onyo la "Mwanagutu"-" Siku Yake Ipo!, Utapogeuka Upepo, Wasije Kulia!.
Je, kesho ndio siku "Mene Mene Tekeli na Peresi!" ya CCM?
Paschal Mayalla: Matangazo ya kumnadi Magufuli Star TV yamelipiwa kiasi gani na CCM?
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!
Au pia nikuletee na mabandiko yangu ya kujikomba kwa rais Magufuli ili nipate uteuzi?.
Paskali
Hujakosea kweli mimi ni Masikini.Watu kama nyinyi ndio huwa nawependa, masikini jeuri!, unashauriwa usitukane wakunga na uzazi ungalipo, au usimchinje mfuga mbwa, wazimu utakurudia!, just be nice to people on your way up, you may meet them on your down, heshimu watu wote, huwezi kujua ni nani atakusaidia kesho!.
Paskali
Ndio jambo linalokera kwa huyu PascalAnastahili sana ila Pascal umezidisha sifa .Una lako jambo.
Ile ni news reporting, ukiripoti news unapaswa kuripoti kile tuu ulichoelezwa, na ndicho nilichofanya, I was just a reporter, wala sijajifanya kipofu, bali nilicholeta ndicho nilichoelezwa.Kichwa cha uzi/habari sio lazima kisadifu yaliyomo.
Juzi ulileta uzi ulipozungumza na Kailima kuhusu uchaguzi wa Madiwani, kweli ulileta habari uliyoisikia kwa Kailima lakini kwa upande wako ulijifanya kipofu ukaona kilichokuwa kinafanywa na Polisi ambao wanatumwa na CCM kilikuwa ni sahihi na ndicho kilichofanya uchaguzi uwe huru kama mlivyosifia na kujipongeza, huo ni mfano mmoja tu kuhusu wewe.