Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

ukitaka kujua inside job is going on hakuna hata leak moja hata za hao wana usalama au wanasiasa na harakati zinazosema serikali ya mpito Mama Samia ,Majaliwa Au ccm ifutwe ...
Acha aendelee kupoteza muda kupambana na chadema wakati wanaomchezea ngoma wako ndani ,,,,,....wanamchekea tu
ahaahaaa


Hahhaa!
Mimi simo , nimjuavyo uchelewi kusikia hao wote "wanatumwa India kutibiwa" ( House Arrest).
 
duh!.mkuu Pascal ukiamua kupamba unapamba kweli kweli..nimepitia roughly kwa kweli vingi km si vyote nakubaliana navyo mkuu.
 
ukitaka kujua inside job is going on hakuna hata leak moja hata za hao wana usalama au wanasiasa na harakati zinazosema serikali ya mpito Mama Samia ,Majaliwa Au ccm ifutwe ...
Acha aendelee kupoteza muda kupambana na chadema wakati wanaomchezea ngoma wako ndani ,,,,,....wanamchekea tu
ahaahaaa
😀😀😀😀😎😎😎
 
Huyu Mama commands respect from the public. Anaonekana ni mwenye hekima, siyo mtu wa kuzua taharuki, siyo mropokaji, ametulia akilini na moyoni. Na sijawahi kuwasikia watu wakimsema kwa lolote baya, iwe kwa wale wa wakereketwa wa CCM au wafurukutwa wa upinzani au wale wasioegemea kokote.

Tanzania would be better with her.
Mkuu Bams , naunga mkono hoja kumhusu huyu mama, hata mimi niliwahi kukizungumza hiki kitu kwenye uzi huu
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!
na haya ndio maneno yangu
She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.
Paskali

P
 
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, VP Samia bado anaendelea kuwa The No.1 Role Model in all aspects!.

Nawatakia wanawake wote, siku njema ya siku yao.
P
 
Pasco Pasco Pasco ( Pascal Mayalla) ndugu yangu bado tunahitaji ji mchango wako katika Hili jukwaa . Hili jukwaa ni chombo pekee huru katika nchi hii. Kauli yako hii "to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!."" nadhani utatuchoshea jopo letu la mawakili Maana limetumia miezi minne kumpatia Mh LEMA dhamana .kwa ndoto yake ya kuwa RAIS atakufa . Sasa Na wewe unawish Mungu ANGEMUA!
Mkuu mwanaone, umeona?.
P
 
Mkuu Paskali nimesoma hii post kwa makini na hakika nimeamua niiptint then niitumie kama mizani ya kujipima ninavoongoza watu hata kwa level ya familia. A masterpiece Mkuu. VP ni mama, you just see it from her face
Naunga mkono hoja
P
 
She is Mama from Zanzibar, 90% ya akina mama wa kizanzibar hata wakisoma huwa wanajitambua na kujua hata position yao kama mama hasa ngazi ya familia..

Huku bara tunashida na hawa mama zetu hasa wakisoma kidogo na kuwa na vijihela basi utaona full sinema, ujeuri, dharau, kujikweza na mwisho wa siku hata ndoa zao huwa mushkeli kidogo..
Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom