Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

VP has proved to be sweet, lovely, touching, and a leader. Mama ameni-impress kwa unyenyekevu na upendo aliouinyesha. Yaani kwa emotions na upendo aliouonyesha, hata kama una moyo kama Idi Amin, Hitler au Mussolin, lazima utalegea.

Kweli upendo una nguvu kama mauti.

Vv
Naunga mkono hoja
P
 
Wallah tena Wallah kisha tena Wallah Pascal una lako jambo.Una nini wewe mkuu na huyu mama yetu? Umemsifia mno na hii mara yako pili mpaka inaleta dhana.Naomba uache.
Kama mtu anastahili sifa, is there a problem?, au kuna idadi ya mwisho ya kumsifia mtu?.
P
 
Mhe makamu wa Rais siku ya wanawake hujaitendea haki!
Katika mazingira ambayo Tanzania ingesimama na Makamu wa Rais basi ni siku ya leo,siku ya wanawake.
Mama usoni unaonekana muungwana na mwenye huruma kiasi kwamba unanishawishi niamini kwamba moyoni huridhishwi na yanayoendelea nchini.
Mhe Makamu wa Rais,kuna sehemu nataka nikukumbushe kwamba wewe haupo ikulu kuunga mkono tu jitihada za Rais tu ila upo pia kudhihirisha uwezo wako wa kiuongozi Mungu aliokujalia,haupo kuunga mkono jitihada za wanaume tu, upo Ikulu ili kupishana kimawazo na Rais ili kujua jambo gani sahihi la kutekeleza kwa wananchi.

Onyesha kwa mabinti walioko mtaani na wale waliopo shuleni na vyuo vikuu kwamba hukufika hapo kutokana na kutafuta usawa wa kijinsia isipokua uwezo wa kiuongozi uliojaaliwa na Mungu,Fanya hivyo tuwaone akina Samia Suluhu wengine baada yako.
Mhe Makamu wa Rais, sikulazimishi ila fanya kadri utakavyoona inakufaa.
Simama katika nafasi yako vizuri udhihirishie UMMA wa Watanzania kuwa unaweza kuwa mshauri wa Rais kama cheo chako kilivyo.
Heri ya siku ya wanawake.
Elia F Michael.
Diwani Gwarama.
Mwenyekiti wa madiwani wa CHADEMA kanda ya Magharibi.
08/03/2018.
Haya sasa yatafanyika
P
 
Bro Pascal Mayala, napenda sana mada zako. Katika kusoma mada yako nimegundua kitu kikubwa kwamba huenda hujaridhika kabisa na hali ya sasa. Hizi sifa zinakufanya utamani awe Rais wa nchi. Rejea "I wish if Mungu angeamua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!. "

Hapa kwa kweli ungeweza pia kutoa madhaifu ya upande wa pili na pengine kupitia andiko lako, mambo yanaweza yakabadilika.
Duh....!, napitia mabandiko humu, kuna watu mna midomo balaa!. Yaani unasema kitu halafu kinakuja kutokea!.
P
 
duh!.mkuu Pascal ukiamua kupamba unapamba kweli kweli..nimepitia roughly kwa kweli vingi km si vyote nakubaliana navyo mkuu.
Sio kupamba, kupamba hufanywa kwa mapambo...hii ni kweli tupu hakuna mapambo yoyote wala kupamba!.

P
 
Paskali, kama WENGINE wanavyopenda mada zako (rejea Bandiko naba 57),nimye pia huwa napendaga mada/makala zako. Je, hii nayo tuiite KUSOMA NYAKATI? (unaiitagaje vle kwa Kiingereza)?......READING!
Trends reader, trends readings, and trends setting.
P
 
Back
Top Bottom