Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

1617380695264.jpeg

Hujacheka kama nilivyochekaa but Why why Paskali

Hahahh who wants to know kodi yako sijui sabasaba blabla

Paskali umeshindikana kheee
Unazungumzia pesa utajiri haya mambo ya vijana au niseme watoto wewe you are way toooooooo old kusema haya ahahahhhh pleaseee

Ok una pesa sawa 'what has it get to do na ulichoandika kumponda Magu
Hii dunia ishi kwa kuhesabu kila siku kheeee nimechoka
 
Wanabodi,
Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu.

Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!.

She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.

On Womanliness
Akizungumzia kuhusu mwanamke kushika madaraka ya juu kama yeye, akasema uongozi ni utumishi wa watu, haijalishi jinsia yako bali kuwatumikia watu hivyo ukiishajitambua kuwatumikia wewe ni mtumishi wa watu, unapaswa kujituma kwa bidii na kuwatumikia watu hao kwa uadilifu na unyenyekevu wa hali ya juu lakini bila kujisahau uanamke wako kwa sababu kazi ya uumbaji kati ya mwanaume na mwanamke ni kazi ya Mungu, hivyo haijalishi wewe ni nani, bali mwanamke atastahili kujikubali uanamke wake na kujiheshimu kianamke kwa sababu mwanamke siku zote ataendelea kuwa mwanamke kwanza hayo mengine yote yanafuata.

On Simplicity and Down to Earth.
Amesema toka kuteuliwa kuwa Makomo wa rais, ana miss sana baadhi ya mambo ya wanawake mfano anapenda sana kupika na haswa kusukuma chapati. Lakini katakana na kutingwa na majukumu, hapati tena muda wa kuingia jikoni kupika!. Wanawake wanapenda kwenda shopping ile kutembea tuu toka duka moja hadi jingine na kuchakura na kuchagua kuna raha zake. Tangu amekuwa VC anatamani sana kwenda madukani lakini anakatazwa. Anaulizwa aseme chochote anachotaka wako watu watatumwa kumletea.

On Humility
Akiongea na Kisu anaongea kwa unyenyekevu sana, haonyeshi kujisikia, anazungumza kwa tone ya humility ya hali ya juu. Angekuwa mwingine kwa madaraka aliyo nayo angeongea very authoritatively kwa tambo, majigambo na full kujisikia!.

Huyu Mama ana Virtues karibu zote na baadhi yake ni hizi nilizozitaja humu.

Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani.

Paskali
Shikamoo mzee wangu Paschal [emoji119]
 
Soma wasemacho Wakenya kuhusu Samia
You have to admit that Tanzanian President @SuluhuSamia is quite likable. She has charisma, comes out as very smart and Kenyans have taken a great liking to her. She ignites something in all of us and we love it. Karibu Kenya and one day soon Karibu Machakos Mheshimiwa Rais. https://t.co/6YLkbOF2Rz

Mimi nilisema humu kuhusu charisma ya Samia. Kiukweli Mungu ni mkubwa, ametenda na Tanzania tutabarikiwa sana kupitia Samia.
she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wengi.

She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.

Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani.

Paskali
P
 
Soma wasemacho Wakenya kuhusu Samia
You have to admit that Tanzanian President @SuluhuSamia is quite likable. She has charisma, comes out as very smart and Kenyans have taken a great liking to her. She ignites something in all of us and we love it. Karibu Kenya and one day soon Karibu Machakos Mheshimiwa Rais. https://t.co/6YLkbOF2Rz

Mimi nilisema humu kuhusu charisma ya Samia. Kiukweli Mungu ni mkubwa, ametenda na Tanzania tutabarikiwa sana kupitia Samia.

P
Du
 
Habari wanajamvi,
(I have read this publication from the Vanguard Africa Foundation website and I am eager to share with you. Thanks!)

View attachment 1870847
the wicked stepmother.

Source:
Kumuita mtu mwenye sifa hizi za bandiko hili kuwa ni, "the wicked stephmother" sio kumtendea haki!, haswa kwa kuzingatia, sifa hizi ni za kweli, bonafide, genuine.

Hivyo kumuita a wicked step mother mtu ambaye sio wicked, sio kumtendea haki!.

P.
 
Soma wasemacho Wakenya kuhusu Samia
You have to admit that Tanzanian President @SuluhuSamia is quite likable. She has charisma, comes out as very smart and Kenyans have taken a great liking to her. She ignites something in all of us and we love it. Karibu Kenya and one day soon Karibu Machakos Mheshimiwa Rais. https://t.co/6YLkbOF2Rz

Mimi nilisema humu kuhusu charisma ya Samia. Kiukweli Mungu ni mkubwa, ametenda na Tanzania tutabarikiwa sana kupitia Samia.

P

Labda tuwaulize tena sasa hivi wanasemaje. NAONA HIYO ILIKUWA mARCH
 
Wanabodi,
Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu.

Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wetu wengi wa kisasa. Kwa jinsi alivyo na sauti safi, tamu na laini yenye lafudhi ya Kizanzibari, akiongea, utatamani asimalize kuongea, atatamani aendelee tuu kuongea, ukijumlisha na yale macho...!, sijui hata akitaka kugomba, atagomba kwa sauti gani na macho gani maana...!.

She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.

On Womanliness
Akizungumzia kuhusu mwanamke kushika madaraka ya juu kama yeye, akasema uongozi ni utumishi wa watu, haijalishi jinsia yako bali kuwatumikia watu hivyo ukiishajitambua kuwatumikia wewe ni mtumishi wa watu, unapaswa kujituma kwa bidii na kuwatumikia watu hao kwa uadilifu na unyenyekevu wa hali ya juu lakini bila kujisahau uanamke wako kwa sababu kazi ya uumbaji kati ya mwanaume na mwanamke ni kazi ya Mungu, hivyo haijalishi wewe ni nani, bali mwanamke atastahili kujikubali uanamke wake na kujiheshimu kianamke kwa sababu mwanamke siku zote ataendelea kuwa mwanamke kwanza hayo mengine yote yanafuata.

On Simplicity and Down to Earth.
Amesema toka kuteuliwa kuwa Makomo wa rais, ana miss sana baadhi ya mambo ya wanawake mfano anapenda sana kupika na haswa kusukuma chapati. Lakini katakana na kutingwa na majukumu, hapati tena muda wa kuingia jikoni kupika!. Wanawake wanapenda kwenda shopping ile kutembea tuu toka duka moja hadi jingine na kuchakura na kuchagua kuna raha zake. Tangu amekuwa VC anatamani sana kwenda madukani lakini anakatazwa. Anaulizwa aseme chochote anachotaka wako watu watatumwa kumletea.

On Humility
Akiongea na Kisu anaongea kwa unyenyekevu sana, haonyeshi kujisikia, anazungumza kwa tone ya humility ya hali ya juu. Angekuwa mwingine kwa madaraka aliyo nayo angeongea very authoritatively kwa tambo, majigambo na full kujisikia!.

Huyu Mama ana Virtues karibu zote na baadhi yake ni hizi nilizozitaja humu.

Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani.

Paskali
Huu uzi pia uliwahi kuandika wewe au ni mwingine?

Kila mwanzisha uzi, jina lake lipo kwenye thread stater .

Nafurahi kujua kuwa ulikuwa unamjua na kumpenda mama toka mwanzo. Wewe hauko kama sisi akina Makanyaga ambao tukishaona mtu amekuwa fulani, ndiyo tunaanza kumfagilia. Ulimpenda sana toka mwanzo, kitu ambacho ni rare. Tulio wengi hatuna upendo wa aina hii, tumejaa siasa tu. Ubarikiwe na Bwana
 
Wanabodi,
Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu.

Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wetu wengi wa kisasa. Kwa jinsi alivyo na sauti safi, tamu na laini yenye lafudhi ya Kizanzibari, akiongea, utatamani asimalize kuongea, atatamani aendelee tuu kuongea, ukijumlisha na yale macho...!, sijui hata akitaka kugomba, atagomba kwa sauti gani na macho gani maana...!.

She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.

On Womanliness
Akizungumzia kuhusu mwanamke kushika madaraka ya juu kama yeye, akasema uongozi ni utumishi wa watu, haijalishi jinsia yako bali kuwatumikia watu hivyo ukiishajitambua kuwatumikia wewe ni mtumishi wa watu, unapaswa kujituma kwa bidii na kuwatumikia watu hao kwa uadilifu na unyenyekevu wa hali ya juu lakini bila kujisahau uanamke wako kwa sababu kazi ya uumbaji kati ya mwanaume na mwanamke ni kazi ya Mungu, hivyo haijalishi wewe ni nani, bali mwanamke atastahili kujikubali uanamke wake na kujiheshimu kianamke kwa sababu mwanamke siku zote ataendelea kuwa mwanamke kwanza hayo mengine yote yanafuata.

On Simplicity and Down to Earth.
Amesema toka kuteuliwa kuwa Makomo wa rais, ana miss sana baadhi ya mambo ya wanawake mfano anapenda sana kupika na haswa kusukuma chapati. Lakini katakana na kutingwa na majukumu, hapati tena muda wa kuingia jikoni kupika!. Wanawake wanapenda kwenda shopping ile kutembea tuu toka duka moja hadi jingine na kuchakura na kuchagua kuna raha zake. Tangu amekuwa VC anatamani sana kwenda madukani lakini anakatazwa. Anaulizwa aseme chochote anachotaka wako watu watatumwa kumletea.

On Humility
Akiongea na Kisu anaongea kwa unyenyekevu sana, haonyeshi kujisikia, anazungumza kwa tone ya humility ya hali ya juu. Angekuwa mwingine kwa madaraka aliyo nayo angeongea very authoritatively kwa tambo, majigambo na full kujisikia!.

Huyu Mama ana Virtues karibu zote na baadhi yake ni hizi nilizozitaja humu.

Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani.

Paskali
Kazi yako ni kuwasifia watu bro...
 
Back
Top Bottom