Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Ngozi" nzuri hapo unamaanisha nini king'asti??Aaah wivu nao. Kidogo nimsahau Prof Anna Tibaijuka. Mwanamke mtanzania, msomi na mwanasiasa anaetumia mamilioni ya shilingi kununua mboga. No wonder ana ngozi nzuri sana.
Anna Tibaijuka, bilionea na mmiliki wa shule za Babro Johnsson, shule za wasichana zenye ubora wa kimataifa, utajiri wake sijui kwa kweli kaupataje.
Lady Jay Dee, mwanamziki na mmiliki wa mgahawa maarufu wa MOG na bendi ya muziki, utajiri wake unatokana na shughuli zake za muziki, anatembelea gari aina ya range rover spot lenye thamani kubwa.
Wema Sepetu, mwigizaji maarufu na mtu anaengoza kuandikwa na magazeti ya shigongo, anajipatia utajiri kutokana na mauzo ya filamu na shughuli binafsi.
Lulu, nayeye yumo, ila sijui utajiri wake kaupataje.
Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye akili, uwezo, na utajiri. Je wanawake kumi ambao ni matajiri wakubwa Tanzania ni kina nani, utajiri wao nini, na umetokana na nini?.Sehemu ya kwanza kupiga hodi ni kwenye jarida la forbers!.Huku sikukuta hata jina moja la mwanamke yoyote tajiri kutoka Tanzania!, hii maana yake, hatuna mwanamke yoyote tajiri mwenye viwango vya utajiri wa kimataifa, sio kwa sababu hawapo, matajiri wanawake wapo, ila they are not registered kwenye jarida la forbers!.Ikitokea ni kijijini, wanawake wote wanamiliki nyumba za nyasi, mwanamke tajiri kuliko wote ni yule mwenye kumiliki nyumba ya bati!. Na ikitokea wanawake wote wanatembea kwa miguu, mwanamke tajiri, ni yule mwenye kumiliki baiskeli!.Hivyo kwa muktadha huo, jee top ten wanawake matajiri waTanzania ni kina nani?!.
Tuwapongeze wanawake hawa kwa utajiri wao ambao pia unachangia kwa ustawi na maendeleo ya taifa!.Pasco.
- Mercy Mengi-50% owner wa IPP Group of companies.
- Sabira Dewji-Binti wa Bilionea Gulam Dewji, mdogo wake Mo-Dewji.
- Dr. Getrude Rwakatare-Huyu ni mmiliki wa shule za St. Marys International Schools. Anamiliki prime lands karibu kila mkoa Tanzania. Source ya utajiri wake ni akili ya kutafuta ufadhili, akianzia na ujenzi wa kituo cha yatima Tabata.
- Rahma Al Kharoos, rais wa RBP OIL & INDUSTRIAL TECHNOLOGY (T) LIMITED.
- endelea.....
Wataje...
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Anna Tibaijuka, bilionea na mmiliki wa shule za Babro Johnsson, shule za wasichana zenye ubora wa kimataifa, utajiri wake sijui kwa kweli kaupataje.
Lady Jay Dee, mwanamziki na mmiliki wa mgahawa maarufu wa MOG na bendi ya muziki, utajiri wake unatokana na shughuli zake za muziki, anatembelea gari aina ya range rover spot lenye thamani kubwa.
Wema Sepetu, mwigizaji maarufu na mtu anaengoza kuandikwa na magazeti ya shigongo, anajipatia utajiri kutokana na mauzo ya filamu na shughuli binafsi.
Lulu, nayeye yumo, ila sijui utajiri wake kaupataje.
Mke wa Barhressa je mbona hatajwi? au yeye hana 50%.
Leo ndio siku ya Wanawake Duniani, enzi za JK tulikuwa na Mabilionea wanawake 5. Huyo number one ametangulia mbele ya haki, mabilioni yake yakahamia kwa binti yake Regina, na pia kukazaliwa bilionea mwingine Jackline.Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye akili, uwezo, na utajiri. Je wanawake kumi ambao ni matajiri wakubwa Tanzania ni kina nani, utajiri wao nini, na umetokana na nini?.Sehemu ya kwanza kupiga hodi ni kwenye jarida la forbers!.
Huku sikukuta hata jina moja la mwanamke yoyote tajiri kutoka Tanzania!, hii maana yake, hatuna mwanamke yoyote tajiri mwenye viwango vya utajiri wa kimataifa, sio kwa sababu hawapo, matajiri wanawake wapo, ila they are not registered kwenye jarida la forbers!.
Ikitokea ni kijijini, wanawake wote wanamiliki nyumba za nyasi, mwanamke tajiri kuliko wote ni yule mwenye kumiliki nyumba ya bati!. Na ikitokea wanawake wote wanatembea kwa miguu, mwanamke tajiri, ni yule mwenye kumiliki baiskeli!.Hivyo kwa muktadha huo, jee top ten wanawake matajiri waTanzania ni kina nani?!.
Tuwapongeze wanawake hawa kwa utajiri wao ambao pia unachangia kwa ustawi na maendeleo ya taifa!.Pasco.
- Mercy Mengi-50% owner wa IPP Group of companies.
- Sabira Dewji-Binti wa Bilionea Gulam Dewji, mdogo wake Mo-Dewji.
- Dr. Getrude Rwakatare-Huyu ni mmiliki wa shule za St. Marys International Schools. Anamiliki prime lands karibu kila mkoa Tanzania. Source ya utajiri wake ni akili ya kutafuta ufadhili, akianzia na ujenzi wa kituo cha yatima Tabata.
- Rahma Al Kharoos, rais wa RBP OIL & INDUSTRIAL TECHNOLOGY (T) LIMITED.
- endelea.....
Watumishi wa serikali wakae mbali kabisa na hii list.Eng.Marcelin Magessa.ceo TEMESA
[emoji23][emoji23][emoji23] Hilo Ni kweli,tutapigishana stori za vijiweni tu hapa. Ukweli ni kuwa data za utajiri ni ngumu sana kupatikana Africa.