Siku ya Wanawake Duniani: Who Are The Top Ten Richest Women In Tanzania?!

Aaah wivu nao. Kidogo nimsahau Prof Anna Tibaijuka. Mwanamke mtanzania, msomi na mwanasiasa anaetumia mamilioni ya shilingi kununua mboga. No wonder ana ngozi nzuri sana.
"Ngozi" nzuri hapo unamaanisha nini king'asti??
 



hahahah...u made my day eddy
 
Apo kwenye "shughuli binafsi" za wema sepetu pana maana kubwa sana,kimsingi ndo ambapo hoja yote imesimamia
 

Ingesaidia kama ungechukua vigezo vya forbers ili tuvitumie hapa. Pia kuna jarida moja hapa Tanzania (Bang Bang! Magazine.) linaongelea wanawake, je haliwezi kutoa mwanga kidogo kwenye kupata jibu la swali lako ingawaje limekaa ki-magharibi sana?!
 

Chanzo kikuu cha mapato ni PAPUCHI yake anaitumia ipasavyo
 
Kuna mama mmoja (jina limenitoka) anamiliki kampuni kubwa ya uwakili ipo maeneo ya Upanga karibu na hospital ya Tumain, ana hela ndefu...kuna kipindi aliomba kununua jengo la INTERNATIONAL HOUSE pale Posta mtaa wa Garden linalomilikiwa na Mitsubishi!
 
Mimi huwa napata shida nikisikia haki sawa, naamini kila mtu anajukumu lake ila baadhi yanaingiliana mfano usawa katika elimu. Yapo mengine hayapaswi kwa mwanamke au mwanaume hasa ya kibailojia au maumbile.
Nadhani kauli mbiu ingekuwa, mwanamke timiza wajibu wako ipasavyo.
 
Leo ndio siku ya Wanawake Duniani, enzi za JK tulikuwa na Mabilionea wanawake 5. Huyo number one ametangulia mbele ya haki, mabilioni yake yakahamia kwa binti yake Regina, na pia kukazaliwa bilionea mwingine Jackline.

Ila pia kipindi hiki cha JPM kumeibuka mabilionea kadhaa wanawake huku kwenye sekta binafsi

Kwa mwendo huu, jee Tanzania tutafikia hiyo 50/50 ya usawa wa kijinsia kwenye mabilionea wanawake kuwa sawa na wanaume?

Nawatakia wanawake wote, heri ya Siku ya Wanawake Duniani!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…