Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Wiki yenye amsha amsha zake imeanza, vipi huko kwako mambo yanasomaje?
- Ushaagwa ana safari ya kikazi wiki hii?
- Ushaanza kutengenezewa mazingira ya minuno na kuambiwa “usinipigie, I need some space”
- Yupo akupendaye na una uhakika wa kupata kizawadi au muamala.
- Bado hakijaeleweka, tutajaribu tena 2026.
- Hainihusu niko single 😎
- Hatutambui Valentines day, sikukuu zinazofuata ni Eid na pasaka.