Siku ya wapendanao ni ijumaa hii, vipi kishaeleweka?

Siku ya wapendanao ni ijumaa hii, vipi kishaeleweka?

Wiki yenye amsha amsha zake imeanza, vipi huko kwako mambo yanasomaje?
  1. Ushaagwa ana safari ya kikazi wiki hii?
  2. Ushaanza kutengenezewa mazingira ya minuno na kuambiwa “usinipigie, I need some space”
  3. Yupo akupendaye na una uhakika wa kupata kizawadi au muamala.
  4. Bado hakijaeleweka, tutajaribu tena 2026.
  5. Hainihusu niko single 😎
  6. Hatutambui Valentines day, sikukuu zinazofuata ni Eid na pasaka.

View attachment 3231635
Emperor Claudius II executed two men — both named Valentine — on Feb. 14 of different years in the third century. Their martyrdom was honored by the Catholic Church with the celebration of St. Valentine's Day

baadaye ikawa modified kama haop chini

an annual festival to celebrate romantic love, friendship and admiration. Every year on 14 February people celebrate this day by sending messages of love and affection to partners, family and friends.

sisi ndyo tumeenda mbali, Valentine day ni siku ya MIKASI, KULEWA na feasting without any apparent reason😡
 
Zamani ilikuwa ni mwendo wa kufungiana ndani na kunjunjana tu. Maana hakuna upendo wa dhati baina ya wapendanao zaidi ya mizagamuano.

Siku hizi hupewi kipochi manyoya mpaka utume muamala wa valentines day.
Siku hizi hamna mapenzi Kuna transaction
 
Back
Top Bottom