Siku ya wapendanao ni ijumaa hii, vipi kishaeleweka?

Siku ya wapendanao ni ijumaa hii, vipi kishaeleweka?

nashukuru Mungu wiki hiii nina safari nje ya nchi kabla ya iyo ijumaa maana % kubwa ya tudem twangu ni tutoto twa afmbili, kila tukipiga simu tunakumbushia zawadi :Sowwy:
 
Kazi kwel kweli
IMG-20250205-WA0028.jpg
 
Wiki yenye amsha amsha zake imeanza, vipi huko kwako mambo yanasomaje?
  1. Ushaagwa ana safari ya kikazi wiki hii?
  2. Ushaanza kutengenezewa mazingira ya minuno na kuambiwa “usinipigie, I need some space”
  3. Yupo akupendaye na una uhakika wa kupata kizawadi au muamala.
  4. Bado hakijaeleweka, tutajaribu tena 2026.
  5. Hainihusu niko single 😎
  6. Hatutambui Valentines day, sikukuu zinazofuata ni Eid na pasaka.

View attachment 3231635
Jamani kushave mbususu hizo leo mwisho
 
Back
Top Bottom