Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Karibu Sana, Mungu akubarikiNgoja tukawasaidie wacongo,Nyie wa valentine uchwara endeleeniView attachment 3231636
Pamoja sana KamandaNgoja tukawasaidie wacongo,Nyie wa valentine uchwara endeleeniView attachment 3231636
Jitengenezee Valentine yako iwe kila siku na 14 Februari iwe ni siku ya kupembua na kuchanganua tu umefikia wapi.Wiki yenye amsha amsha zake imeanza, vipi huko kwako mambo yanasomaje?
- Ushaagwa ana safari ya kikazi wiki hii?
- Ushaanza kutengenezewa mazingira ya minuno na kuambiwa “usinipigie, I need some space”
- Yupo akupendaye na una uhakika wa kupata kizawadi au muamala.
- Bado hakijaeleweka, tutajaribu tena 2026.
- Hatutambui Valentines day, sikukuu zinazofuata ni Eid na pasaka.
View attachment 3231635
Aisee, ngoja waje wataalamu hapa wakushauri 🙃Hivi kama napendana na watu wengi natakiwa kufanyaje?
Hakuna kitu mapenzi ni uzushiWiki yenye amsha amsha zake imeanza, vipi huko kwako mambo yanasomaje?
- Ushaagwa ana safari ya kikazi wiki hii?
- Ushaanza kutengenezewa mazingira ya minuno na kuambiwa “usinipigie, I need some space”
- Yupo akupendaye na una uhakika wa kupata kizawadi au muamala.
- Bado hakijaeleweka, tutajaribu tena 2026.
- Hatutambui Valentines day, sikukuu zinazofuata ni Eid na pasaka.
View attachment 3231635
Twende zetu matema beach tukaogelee na sisi tusherekee valentina kinyakyusa 🤣🤣🤣🤣.Mpenz wangu yupo busy na mpenzi wake.....
Ngoja tuone sikuhiyo
Hesabu 9:11 mwezi wa pili, siku ya kumi na nne ya mwezi, wakati wa jioni, wataishika; watamla pamoja na mikate isiyotiwa chachu na mboga za uchungu;Kasome Hesabu 9:11 alafu uje utuambie tena
Zamani ilikuwa ni mwendo wa kufungiana ndani na kunjunjana tu. Maana hakuna upendo wa dhati baina ya wapendanao zaidi ya mizagamuano.Kipindi cha ujana wangu hiyo siku kuna namna tulikua tunafurahia ila siku hizi mambo yamebadilika vijana mnapeana Hela, nguo, maua na vacation
Hiyo naona ni mambo ya watoto!
Km ni watu wazima baasi akili zao ni kidogo