luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hiyo barabara nimepita juzi kurudi DAR aisee sasahivi haifai maana ina mabonde ya kufa mtu tena kama mtu mgeni na hiyo njia ni hatari Sana hasa waendeshaji Magari madogo..Nilikua natoka Dar kwenda Mtwara, nikiwa na toyota voltz-mannual gia (na kila siku nawaambia naiuza hamtakiπ
π) nilienjoi sana nilivokua naomba njia kwa kutumia indiketa halafu naruhusiwa, mwingine ananiambia subir then ananiruhusu asee nilikua napata furaha sana, mwingne ananiwashia taa kuniambia punguza mwendo trafiki mbele, na mwingne ananiuliza namjibu hahaha aiseee nilikua najiona ndio baaasi tena maisha nimeshayamaliza hapo sihitaji kingine.... ilikua Novemba 2014!
Highway ya nchi gani?Wadau uzi wa ku share experience yako kwa mara ya kwanza ku drive high ilikuwaje ...
Kwangu binafsi ilikuwa shida sana ktk ku overtake yaan nilikuwa naogopa sanaa ila nilikuwa nikukuta road iko open nilikuwa speed sanaa 80Km/h nakumbuka nilikuwa na drive Mazda
Ata ya Burundi kama ushawahi ku drive au hata kama ya pale New york kuelekea Manhattan kama ushawahi ku drive hukonHighway ya nchi gani?
Ukijua ili iweje?Ata ya Burundi kama ushawahi ku drive au hata kama ya pale New york kuelekea Manhattan kama ushawahi ku drive hukon
Yah uko sahihi mkuu, ukishavuka daraja la mkapa pale vinaanza viraka viraka ambavyo vinaondoa kabisa ladha ya Safari...Dereva mgeni awe makiniHiyo barabara nimepita juzi kurudi DAR aisee sasahivi haifai maana ina mabonde ya kufa mtu tena kama mtu mgeni na hiyo njia ni hatari Sana hasa waendeshaji Magari madogo..
Mkuu nitumie picha ya gari na details zake inbox. Tuma na bei kabisa.Nilikua natoka Dar kwenda Mtwara, nikiwa na toyota voltz-mannual gia (na kila siku nawaambia naiuza hamtakiπ
π) nilienjoi sana nilivokua naomba njia kwa kutumia indiketa halafu naruhusiwa...
Hicho kipande aisee ni shida mpaka unavuka mhoroYah uko sahihi mkuu, ukishavuka daraja la mkapa pale vinaanza viraka viraka ambavyo vinaondoa kabisa ladha ya Safari...Dereva mgeni awe makini
Haujaizoea gari wewe.Mimi huwa sithubutu kuendesha gari zaidi ya speed ya 50Km/h kwa hiyo huwa siwezi kuendesha gari highway.