Siku yako ya kwanza ku drive highways ilikuwaje?

Nilisalimia kila gari nililopishana nalo kwa ku'flash[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kama haitoshi nilifuta kioo kwa wipers kila muda for no reason..

Pamoja na hayo yote huwa napenda sana wipers zinavyofanya kazi, naweza kuziwasha for 5 seconds then nikazima hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo!!
 
Ilikuwa ni Dar mwanza na passo pasua 990cc ndo nlinunua nliifats kwa mshkaji mwaka 2016. Nliondoka dar saa moja asubuhi nikala vichwa vyangu mbezi pale vya moro nlivofika moro pale nikala vya singida jioni mida ya saa 11 nlikuwa singida nikala vya mwanza and saa 5:59 nlikuwa mwanza.
Nimeenda kulala hivi nasikia gari inaunguruma kichwani nlikuja kulala saa tisa usiku.
Jamaa aloniuzia gari alijua sijawahiendesha highway hivo alijua lazima tu either nitaangusha gari ama kugonga au kugongana. Nlifika salama nikamjulisha alikuwa hajalala ananifuatilia, uzuri kila nikiingia mkoa flan namjulisha.
 
Wewe mwamba usinikumbushe nampeleka mwanangu should abbey nipo na mgongo wa chura Wangu mamba A..
Trafiki wote njiani wananiuliza umetoka lini dar?!!
Sikupigwa bao hata moja
 
Ila passo ikiwa na vichwa vinne inatembea fresh
 
Hiyo natoka Dar naelekea Horiri Tanga na kaduet kangu kapya kufika Msata nikapigwa mkono na trafiki nimsaidie boss wao anaelekea Tanga kikazi, daah nilikuwa natembea siangalii vibao vya spidi wala nini na sijasimamishwa mpaka naingia Tanga mjini
 
Wewe mwamba usinikumbushe nampeleka mwanangu should abbey nipo na mgongo wa chura Wangu mamba A..
Trafiki wote njiani wananiuliza umetoka lini dar?!!
Sikupigwa bao hata moja
Amaizing... siku moja nitamiliki mgongo wa Chura na 109/110 kwaajili ya adventure kama hizo, BIg up sana Mkuu!
 
Hiyo natoka Dar naelekea Horiri Tanga na kaduet kangu kapya kufika Msata nikapigwa mkono na trafiki nimsaidie boss wao anaelekea Tanga kikazi, daah nilikuwa natembea siangalii vibao vya spidi wala nini na sijasimamishwa mpaka naingia Tanga mjini
Hivi mzee holili si ipo Kilimanjaro au hata ukiwa Tanga unakua unaiona? Au ulimaanisha Horohoro...?
 
Mimi huwa sithubutu kuendesha gari zaidi ya speed ya 50Km/h kwa hiyo huwa siwezi kuendesha gari highway.
Do, mimi inategemeana na gari mfano 1000 and below cc huwa 100 kwa 120 had 140km/h kwenye mteremko, 1500 kuja hadi 2000, 120 to 160km/h, sijawahi endesha umbali mrefu gari kubwa zaidi ya 2000cc ila najua nitaenda hadi 180km/h
 
Mm nilimkosakosa mtu….sjaingia wide road mpka Leo
 
Nilikuwa natetemeka balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…