luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,986
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah aroo njozi zangu uwa loudly. Uwa naongeaga ndotoni usaliti wote niliomfanyia, nikilala na mpnz uwa njizuia kutolala fofofo..
Yan mim nikifanya tukio kubwa uwa silali na mtu lazima nitoe siri zote ndotoni
Mpenzi wangu yupi sasa, huyu niliyenaye au nilioachana nao?
Hahaha enzi izo bado ushirika sitimbi asubuhi ukungu mwingi kama Russia vile kcm chief back in the dayHaha!geto au gest mkuu, maana maeneo hayo nayajua sanaa,vyombo vya kcmc na mwenge ndo vinapatikana
Kwan mwenye mbwa haja rudi akufungie bandaniKwani mwalimu wenu wa tuition bado yuko safari?
Hahaaa kmmk ..mkuu ulienda kununua papuchi buguruni !??me mwanamke wa kwanza kulala nae alikua malaya nilimlipa 15k na bia kama 8 na ugari nyama choma nilimtembezea moto kilichomuokoa ni mapambazuko tu
HahaaaMi nililalaga na house girl wetu miaka ya 90, aise mzigo ulinizidi uwezo nikamsimulia Kaka. Ndani ya siku tatu nakuta bro ndo anajilia li mzigo.