Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,581
Ulipiga kelele au ulitoa ushirikiano kwa mauno ya nguvu?
weeee yaan ushirikiano wa hali ya juu maana mtu wa hivyo unakuta kachongwa moyoni ana kasehemu special moyoni
Ulipiga kelele au ulitoa ushirikiano kwa mauno ya nguvu?
Unakimbizwa kwani mzee [emoji3][emoji3][emoji3]Nlikua nkilalala haifiki nusu saa nishaamka, huo ucngizi wake kesho yake nikiwa pindi nlishangaa tu nmeamka afu watu waliopo ni watu wa sheria na misuti yao wenzangu washasepa kitambo. Acha tu sio kwa noma ile sema nlijikaza tu kiume nkatoka ivo ivo
Unapata wapi ujasiri wa kupata usingizi?Kwa mara ya kwanza mimi nilipolala na aliyekuwa demu wangu usiku kucha yaani ilikuwa shida sana. Yaani nilikuwa kama dokta yupo na mgonjwa ICU.
Nakumbuka ilikuwa Moshi maeneo ya Ushirika wa Neema, kabaridi kanapiga balaa. Dogo mwili ulikuwa wa moto basi kila nikiamka namgusa mwili, naona mwili wa motoo nikajua jumba bovu linataka kunifia nini. Nikamkurupusha yule dada kumuuliza vipi unaumwaa?
Dah! Sitasahau ile siku