Siku yangu ya kwanza katika kujifunza kutengeneza Ui/Ux kwa Adobe XD

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa kama namwelekeza mtu anitengenezee kitu.

Jana nimeamuza kuwa ntaaza jifunza kudesign prototypes za app kwa Adobe XD.

Leo nimeanza na hii ni short video ya my progress.

Niko nyuma yako apa...mkuu nina swali kidogo ukiwa unafanya project pale Android studio ni lazima uwe unaaccess ya internet kwenye PC au?? Maana najaribu kila namna naambulia error mara proxy
 
Wakati unatengeneza project mpya huwa kuna files nyingi zinatakiwa kujidownload kwenye internet pia wakati una Run app yako inadownload baadhi ya files . Kwa hiyo ni Yes Internet inahitajika hata kama unatumia VSCode pia inahitaji internet
 
Kazi nzuri, text zako ziweke ziwe legible, hazisomeki kabisa. (Naongelea text za buttons) Hichi kitu ni muhimu sana kwenye design. Unapoweka vitu kupandiana hakikisha kuna contrast (ukinzani mkubwa wa rangi) kati ya kitu cha juu na chini. Kama ni rangi zinazofanana moja iwe na saturation ndogo.
 
Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa kama namwelekeza mtu anitengenezee kitu.

Jana nimeamuza kuwa ntaaza jifunza kudesign prototypes za app kwa Adobe XD.

Leo nimeanza na hii ni short video ya my progress.

View attachment 2113995
Mkuu kwenye design na font bado, text color inaumiza macho inatakiwa isiwe white kabisa yaani atleast fainted one hata black color hatuweki Kama black no,

siku ile ulinionyesha design za graphics zingine kama mabango umefanya poa ila hii inakuaje?
 
Najifunza basics mkuu nikitaka design kitu kabisa uwa namwita mdogo wangu wa kike ndiye anichagulie rangi mimi ni mbovu sana kwenye rangi. Hapo mimi najifunza tu basics.
 
Mkuu kwenye design na font bado, text color inaumiza macho inatakiwa isiwe white kabisa yaani atleast fainted one hata black color hatuweki Kama black no,

siku ile ulinionyesha design za graphics zingine kama mabango umefanya poa ila hii inakuaje?
Kwakweli kwenye kuchagua rangi mimi mbovu sana uwa kama nafanya designing nayotaka itumia uwa namsubiri mdogo wangu wa kike anichagulie otherwise napuyanga tu.
My progress, sema natumia software ina bug ya horizontal scroll.
 
View attachment 2114329
Huwezi kuwa good UX/UI designer kama hujui rangi..

Kwa ulipo fikia una options 2.. either ujifunze rangi na basics za design kwa ujumla na kuondoa hiyo dhana kwamba hujui rangi au uachane na design uanze kujifunza programming tena ikiwezekana udeal na backend ..
 
Hahaha programing nlijifunza nikaachia njiani. Mambo yalikuwa mengi. Css na html hayo nlijifunza miaka zaidi ya 15 iliopita.
C++ nilienda fundishwa nikajifunza kama mwezi nikaacha mambo yakawa mengi, pesa ikawa tamu kuliko kusoma 🤣
 
Niko nyuma yako apa...mkuu nina swali kidogo ukiwa unafanya project pale Android studio ni lazima uwe unaaccess ya internet kwenye PC au?? Maana najaribu kila namna naambulia error mara proxy
Wakati ukianza project ni muhimu kuwa connected kwenye net kuna vingi vinajidownload kwenye back ground
 
Hahaha programing nlijifunza nikaachia njiani. Mambo yalikuwa mengi. Css na html hayo nlijifunza miaka zaidi ya 15 iliopita.
C++ nilienda fundishwa nikajifunza kama mwezi nikaacha mambo yakawa mengi, pesa ikawa tamu kuliko kusoma [emoji1787]
Kila kitu kipo YouTube
 
Kwakweli kwenye kuchagua rangi mimi mbovu sana uwa kama nafanya designing nayotaka itumia uwa namsubiri mdogo wangu wa kike anichagulie otherwise napuyanga tu.
My progress, sema natumia software ina bug ya horizontal scroll.
View attachment 2114329
Mnawezaje hivi vitu mie mbona sina ujasiri huu😂
 
Nadhani inaanza na passion, ukipenda kitu basi ni rahisi kukifuatilia. Sema kwasasa nina majukumu ningejifunza programming sema muda ndo sina ndo maana nikipata muda najifunza vitu easy easy tu
 
kazi yake ni nini?
Unaitumia kila siku karibu katija kila kifaa, kuanzia simu, computer, tv, hata jamii forums. Yani ni kile mtumuaji wa kifaa anacho interact nacho. Mfano uko jf ukiclick button, hiyo ni UI, lakini wewe waona button kama mtumiaji ila nyuma yake kuna code.
Same hata kwenye website, we unabonyeza picha au neno mambo yanafunguka tu, kumbe hicho unachoona nyuma yake kuna codes. Mpangilio mzima nyuma yake kuna codes.
UI ni muhimu sana katika mafanikio ya bidhaa. Mfano Windows phone ilifail kwasababu nyingi, lakini mojawapo watu wanasema ilikuwa ngumu kuitumia.
So hapo shida ni UI.
 
kazi yake ni nini?
Monekano wa application unayotumia ( vile unavyoona buttons, sehemu za kuweka profile picture, kila kitu unachotumia kwenye application ai site na unaweza kukiona hiyo ndio user interface..
Mfano wa muonekano wa UI ya Jf

Screenshot_20220212-000820_Brave.jpg
 
Back
Top Bottom