Siku yangu ya Kwanza kupanda Lifti za kwenye maghorofa chamoto nilikipata

Kwa hiyo yule dada ilikuwaje.?

Bwashee hata movie ulikuwaga huangalii wanafanyaje kwenyw lift?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiona kwenye movies au YouTube unaona rahisi, fanya wewe mwenyewe Kwa mara ya Kwanza ni msala.

Umenikumbusha siku nimeamua kupika chapati Kwa Kutumia YouTube, mbona zile za Yesu zilikuwa na afadhali.
Hahaha bro umenifanya nicheke mpaka niliokuwa nao wananishangaa. Eti za Yesu zina afadhaliπŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
Eti "Lakini ghafla nikawaona walewale walinzi, nikajua hakuna kitu nimefanya. Nikamwambia yule dada turudi, tukarudi. Sasa aibu ya ushamba mbele ya yule mrembo"


Nimecheka kifala sana.
 
Una bahati ulikutana na mdada ambae nae ni mgeni kwenye elevator.
Angekua anajua ungekoma.

Mimi hivi majuzi escalator ilitaka kunitoa ushamba.
Mwenyewe Escalator hadi leo kwangu imekuwa ngumu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona kwenye movies au YouTube unaona rahisi, fanya wewe mwenyewe Kwa mara ya Kwanza ni msala.

Umenikumbusha siku nimeamua kupika chapati Kwa Kutumia YouTube, mbona zile za Yesu zilikuwa na afadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka....shida nini wakati mimi chapati nimejifunzia yutyubu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiona kwenye movies au YouTube unaona rahisi, fanya wewe mwenyewe Kwa mara ya Kwanza ni msala.

Umenikumbusha siku nimeamua kupika chapati Kwa Kutumia YouTube, mbona zile za Yesu zilikuwa na afadhali.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Khaaaaa nimecheka mpaka machozi zilikuwa hazitembei kweli?
 
Lift za hospital zisipendi kabisa, kuna siku nimeenda mloganzila kumuona ndugu yangu kama kawaida nikakuta watu wamepanga mistari pale wanasubiri ifike saa 10 kamili ili waanze kuruhusiwa kuingia.

muda ukafika tutakaanza kuingia kwenye lift, ila wabongo tuna matatizo sana sijui ni ushamba !sijui ni matatizo ya afya akili!! Kiukweli sikuelewa.

Mimi nilikua miongoni mwa watu wa kwanza kuingia kwenye lift kwahyo nilikua mwisho kabisa ili watu wengine wapate nafasi sasa cha ajabu ni kwamba watu walijaa sana kwenye lift mpaka ikawa inashindwa kupanda!! Yaani inajivuta inapandaaaa alafu unaskia inajiachia inashuka mpaka nikapata hofu.

Tukasema wale wa mlangoni watoke wapungue ili lift ifanye kazi majitu yanagoma yanalazimisha!! Yaani pale lift zile zimeandikwa kabisa uwezo wake wa kuhimili idadi ya watu au uzito kwa pamoja ila ukiwaambia wanabisha!!

Siku hiyo ndo niliamini kweli lowasa hakukosea kusema vipaumbele vyake ni elimu,elimu,elimu.. yaani siku hiyo nilipata hofu nikawaza likigoma kufunguka itakuwaje maana lilipanda alafu likashuka ghafla kwa kasi likatua kwa kishindo! Na tulijaribu mara 2 maana watu waligoma kushuka mimi Nilishuka kwakeli baada ya milango kufunguka.
 

Pole saa Mkuu japo inachekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…