TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado upo huko au upo hapa kwa makonda?
Hata tz yote inahesabika kwa majina na idadiHongera sana mkuu,mliowahi kuona hilo Taifa mnahesabika, kwa majina na idadi.
Hehehee, unaanzaje?Kwamtogole
Ulifanya sana makosa kurudi.Nilikwenda holiday tu ninaishi Kwamtogole
New York hadi kwa mtogole.... Anguko kubwa saanaNilikwenda holiday tu ninaishi Kwamtogole
[emoji23] [emoji23]Siku nikienda pahala hlf kukawa na asilimia 90 ni wazungu najiuliza sijui nitakidanganyaje kichwa changu kuwa kipo dunia hii na si mars!![emoji12]
Nitajawa na taharuki ya kukimbia najiuliza hii nini hii sio alien Hawa??[emoji23][emoji23]