Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipanda air msae by thenUSA ninayoijua ni ile pale baada ya Kikatiti na Maji ya chai kule kwa Gambo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilibeba unga wa mahindi (sembe), wakati wa ile search walifikiri ni anthrax ulipigwa sana brush zikawekwa kwenye darubini majibu yakatoka green.Mkuu ulienda na tranka?
Je ulibeba kuku na kiroba cha mihogo kama zawadi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, nilipata mualiko kutoka kwa mwanafamilia. Niliingia American Embassy nikajaza fomu wakati huo kila kitu kilikua manually. Baada ya kujaza fomu na kuikabidhi na passport yangu niliitwa dirishani na mama wa Kihindi. Aliniuliza maswali mengi ya course ninayosomea. Mwisho aliniambia tunafanya maamuzi mchana huu, acha pesa za kulipia gharama za kukurudishia passport yako ni courier service. Baada ya kulipia niliambiwa nirudi saa nane mchana. Nilizunguka mjini nikarudi sana nane. Niliambiwa tumekupa visa ya miaka miwili, katika hii miaka miwili una uwezo wa kuingia na kutoka bila kuja kutuona tena.
Niliondoka na British Airways enzi hizo mkitoka Dar mnatua Heathrow mnapata bus la kwenda Gatwick huko mnachukua pipa moja kwa moja USA. Kumbe katika masham sham ya safari nilisahau address ya mwenyeji wangu.
Immigration officer aliniuliza unakwenda wapi, sina jibu. Nilimwambia mwenyeji wangu yuko nje ananisubiri. Alisema ni lazima tufahamu unakwenda wapi.
Nilifanyiwa search si ya kitoto. Baada ya kuridhia kuwa sina madawa ya kulevya waliniita ofisini nikaulizwa ninataka kunywa nini. Nilipewa kikombe cha kahawa. Walinuliza jina la mwenyeji wangu na tarehe yake ya kuzaliwa waka run data base yao wakamuona. Walichukua details wakaniruhusu kuingia.
Nimetoka nje abiria wote wa ndege niliyoingia nayo wamshatoka, wenyeji wangu walijua niko detention. Waliponiona walifurahi sana.
Nilikua nimerelax sana ninadhani hiyo pia ilisaidia kujenga nao trust.Malizia kabisa mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda speed ngapi kwa saa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ulitusumbua sana wenyeji wako siku ile.
Unajua kwa nn Walikupa kikombe cha kahawa ya moto?Nilikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, nilipata mualiko kutoka kwa mwanafamilia. Niliingia American Embassy nikajaza fomu wakati huo kila kitu kilikua manually. Baada ya kujaza fomu na kuikabidhi na passport yangu niliitwa dirishani na mama wa Kihindi. Aliniuliza maswali mengi ya course ninayosomea. Mwisho aliniambia tunafanya maamuzi mchana huu, acha pesa za kulipia gharama za kukurudishia passport yako ni courier service. Baada ya kulipia niliambiwa nirudi saa nane mchana. Nilizunguka mjini nikarudi sana nane. Niliambiwa tumekupa visa ya miaka miwili, katika hii miaka miwili una uwezo wa kuingia na kutoka bila kuja kutuona tena.
Niliondoka na British Airways enzi hizo mkitoka Dar mnatua Heathrow mnapata bus la kwenda Gatwick huko mnachukua pipa moja kwa moja USA. Kumbe katika masham sham ya safari nilisahau address ya mwenyeji wangu.
Immigration officer aliniuliza unakwenda wapi, sina jibu. Nilimwambia mwenyeji wangu yuko nje ananisubiri. Alisema ni lazima tufahamu unakwenda wapi.
Nilifanyiwa search si ya kitoto. Baada ya kuridhia kuwa sina madawa ya kulevya waliniita ofisini nikaulizwa ninataka kunywa nini. Nilipewa kikombe cha kahawa. Walinuliza jina la mwenyeji wangu na tarehe yake ya kuzaliwa waka run data base yao wakamuona. Walichukua details wakaniruhusu kuingia.
Nimetoka nje abiria wote wa ndege niliyoingia nayo wamshatoka, wenyeji wangu walijua niko detention. Waliponiona walifurahi sana.
Kwahiyo umegoma kabisa kurudi kwenye jiji la Makonda?Wakati huo techno zilikuwa bado, nilikuwa na Nokia ya kupiga na kupokea na text messages.
Ndio,kokote ulikoHuku kwetu Kwamtogole?