Siku yangu ya kwanza kwenda USA yaliyonisibu

Malizia kabisa mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda speed ngapi kwa saa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka siku ya kwqnza kupanda bus nalikumbuka ni Prince Muro mwaka jana 2019 ikawa bariiidi ndani halafu wakazuia kutungua madirisha. Nikawa sasa nataka kutema mate nje naogopa nikawa natema nchi haraka nayakanyaga mwenzangu asione.
Jamani kwenye bus kuna raha hasa ukikaa karibu na dirisha tena karibu na dereva unaona mbele vzr
Ni hayo jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwa nn Walikupa kikombe cha kahawa ya moto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe connection, na mm nikatoe tongo tongo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…