Siku za hivi karibuni ulinzi wa Makamu wa Rais umeongezeka

Siku za hivi karibuni ulinzi wa Makamu wa Rais umeongezeka

Hata jana nilimwona sehemu, yupo na Wavaa miwani meuzi wa kutosha

Hopeful 2030 ikawa ni zamu ya Ruvuma badala ya Singida, maana vikumbo wanavyopigana sio vya polepole
desturi - in polepolez voice haitozingatiwa?
 
Unaweza kuzan serikali imekuongezea walinz kumbe imekuongezea wapelelezi.
 
Ghafla huyu amekuwa mkombozi atarajiwaye? Kwa lipi hasa? Huyu ni ‘walewale’ wa kule kule, HP alisema pia.
 
Mbona huyu hana ulinzi, Waziri Mkuu wa British Empire ?

1787690800668.jpeg


Na ana vinu vya nuclear

Na ki bajeti wanaweza ku afford kambi nzima ya jeshi itembee nae masaa 24 kwa vifaru na helikopta juu, mwaka mzima

Lakini hawana u primitive wenzetu sijui kwa nn

Tungeitangazia dunia kwamba sisi Waafrika ni wanyama pori tulio develop social skilla na language abilities tungepiga sana hela ya utalii
 
Back
Top Bottom