Siku za mbele kwa Kiswahili - Maoni

Siku za mbele kwa Kiswahili - Maoni

Colea911

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
24
Reaction score
5
Mara kwa mara nawaza ya kwamba hii lugha itaendelea vipi? Tayari imeharibika sana Kenya. itaendelea kwa nguvu kwa Tanzania? Itaenea Afrika Mashariki? Ama watu ya hii jumuiya watakiacha kiswahili baada ya miaka mingi? Maoni yako? Jadili.

Mimi ni mzungu ningependa kuona lugha ya kiafrika kusambaa kabisa. Vile naona ni muhimu sana waafrika wana lugha wanaoweza kusema ni wao kabisa, la sivyo watu wanaiga wengine... na hao ya kuiga wengine sio watu wa kujivunia wala wenye nguvu. Nchi zingine wanakuza lugha zao kabisa... (mfano - Japan, Turkey, Iran, Korea, Ethiopia) kwani nchi za afrika haziwezi?
 
Wewe unatoa maoni gani mzungu..?tufanyeje ili lugha yetu iweze kuendelea.?
 
maoni yangu ni watanzania wakuze lugha yao kabisa kama nchi zingine. Kiswahili kiwe lugha ya kufundisha kwa shule zote za kiserikali. Ndiyo maoni yangu kwa sababu hizi:

(1) Nchi nyingi tayari wanakuza lugha yao... why not tanzania? Vile naona wafrika wengi hawana imani kwa kitu kilicho chao. Kwa mwaka 1966 uchumi ya ukorea ulikuwa sawa na Kenya. Leo hii nchi ilio na watu millioni 50 ni super power na bado wanatumia lugha yao. Hawakufa moyo zamani siku zile za umaskini, kwani watanzania wamepoteza matumaini.

(2) Kiswahili ni lugha iliyo na nguvu zaidi katika afrika. Kina uwezo nyingi ya kukua. Nchi nyingi jirani zimeonesha nia ya kufundisha kiswahili kama Uganda na Burundi. Wengi wengine wanataka kuona kiswahili kikuzwe. Bara ya kiafrika inahitaji lugha ya kiasili ya nguvu

(3) kutoka zamani tanzania imekuwa nchi ya kushawishia majirani faida ya pan africanism na ujamaa. Imesemekana wafrika wajivunie kwa utamaduni ya kiafrika. Taifa ya tanzania iendelee kufanya hivyo... ni sifa ya tanzania.

(4) Siku moja Tanzania itakuwa taifa ya nguvu. Idadi ya watu wanaoishi tanzania itakuwa millioni 200 kwa mwaka 2100. Watoto wetu wataona siku hizo. Hakuna haja ya kuiga nchi zingine. Angalia nchi ya uturuki. Baba wa taifa yao zamani alikuwa na vision ya indepedence. Baada ya miaka mingi uturuki umefanikwa kabisa. Kwa katiba yao imeandikana ni lazima kutumia kituruki kwa shule zote. Vision ya tanzania iko wapi?

(5) Hakuna hakika wala utafiti kwamba kiingereza inasaida maendeleo. Kiingereza bado itafundisha kwa masomo na pia itaingia nchi kwa njia ya hollywood na watalii. Usiwe na wasiwasi kuhusu kiingereza. Pia inawezekana kichina itakuwa na ushawishi zaidi kwa tanzania kwa siku za mbele kwa sababu ya bagamoyo port.

Kuna sababu zingine lakini hizo ni chache. Waonaje? Usinikosoe sana... mimi ni mzungu mgeni. Ndiyo maoni kutoka mbali. Asanteni.
 
Naungana na Mzungu kwamba kama watanzania ambao kiswahili ndiyo lugha yetu hatuna budi kukienzi na kuthamini lugha yetu
 
I hope you are not using Google translator to get the Swahili equivalent of whatever you are trying to convey.
 
Mzungu noma sana, hadi anajiita mzungu?
 
Back
Top Bottom