Mara kwa mara nawaza ya kwamba hii lugha itaendelea vipi? Tayari imeharibika sana Kenya. itaendelea kwa nguvu kwa Tanzania? Itaenea Afrika Mashariki? Ama watu ya hii jumuiya watakiacha kiswahili baada ya miaka mingi? Maoni yako? Jadili.
Mimi ni mzungu ningependa kuona lugha ya kiafrika kusambaa kabisa. Vile naona ni muhimu sana waafrika wana lugha wanaoweza kusema ni wao kabisa, la sivyo watu wanaiga wengine... na hao ya kuiga wengine sio watu wa kujivunia wala wenye nguvu. Nchi zingine wanakuza lugha zao kabisa... (mfano - Japan, Turkey, Iran, Korea, Ethiopia) kwani nchi za afrika haziwezi?