Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Uzembe usioendana na kasi ya JPM wa Taassisi ya Elimu Tanzania (TET) unaelekea kumponza Waziri Wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako. TET ambayo iko chini ya Wiazara yake imekuwa mzigo na ni sikio la kufa amabalo halisikii dawa, tetesi zilizopo ni kwamba sasa TET inaenda kumngo'oa Waziri mwenyewe.
Baadhi ya uzembe wa TET:
1. TIE wameshindwa kutupatia vitabu vya shule ya Msingi, kila wakitoa tukianza kuvitumia mara wanakuja kuvikusanya kwenda kuvichoma mtoto, wanasema vilikosewa.Hii imeshatokea mara 3. Mabilioni kwa mabilioni yanateketea, JPM ameshtuka.
2. Hivi sasa hatuna kitabu hata kimoja cha mtaala mpya. Wanafunzi wetu wa darasa la Nnne wanaenda kufanya mtihani wa taifa bila kusoma vitabu vya mtaaala mpya.Hakuna anayejali.
3. Hata vitabu vya shule zenye mchepuo wa kiingereza vilivyokuwa vikitusaidia katika kuandaa notes hawataki kuviona mashuleni hadi wavipe ithibati. Hata hivyo wamegoma kuvipa vyeti vya ithibati miaka miwili sasa. Wameapa kutotoa kabisa ithibati kwa kitabu chochote cha private publisher hata kama kimekidhi vigezo (hii siri kanitonya jamaa wa TET ndani) sababu ni ugomvi uliopo kati ya TET na Publishers. sijui ni ugomvi gani huo bado natafuta. Baadhi ya publishers wamegundua hilo na wameamua kuprint bila ithibati maana miezi ya kuprint kwa soko la mwakani ilikuwa ni mwezi wa 9.
4. Jamaa wa ndani YA SYSTEM kanitonya kuwa ubabaishaji wa TIE umeshafka kwa SIMBA WA VITA YA UFISADI NA UZEMBE na muda wowote Joyce atatumbuliwa na kuondolewa ubunge wake kisha kuteuliwa kuwa balozi kwenye moja ya nchi za America ya Kaskazini. Profesa mmoja wa saikolojia ya elimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara fulani atapewa ubunge na uwaziri wa elimu. Muda ni mwalimu mzuri tusubiri.