Tetesi: Siku za Ndalichako zehesabika WEMU, TET wanamponza.Aandaliwa kupewa Ubalozi.

Tetesi: Siku za Ndalichako zehesabika WEMU, TET wanamponza.Aandaliwa kupewa Ubalozi.

Wakuu mbona wanadai huu mtaala mpya wa darasa la 4 ulipingwa bungeni. Piaa mpaka saivi wanakaribia kumaliza darasa La 4 lakini vitabu vya mwendelezo wa mtaala huo vya darasa la 5 bado sijabahatika kuviona.
VITABU VYA DARASA LA 5 HUWEZI KUVIONA KABLA YA VYA MADARSA MENGINE YA CHINI
 
Back
Top Bottom