Tetesi: Siku za Ndalichako zehesabika WEMU, TET wanamponza.Aandaliwa kupewa Ubalozi.

Tetesi: Siku za Ndalichako zehesabika WEMU, TET wanamponza.Aandaliwa kupewa Ubalozi.

Watendaji wa serikal wote wana woga hamna anayetumia taaluma yake kufany kaz ..wanaishia kusifia kila kitu il wapte ugal tu #tz yang
 
Uzembe usioendana na kasi ya JPM wa Taassisi ya Elimu Tanzania (TET) unaelekea kumponza Waziri Wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako. TET ambayo iko chini ya Wiazara yake imekuwa mzigo na ni sikio la kufa amabalo halisikii dawa, tetesi zilizopo ni kwamba sasa TET inaenda kumngo'oa Waziri mwenyewe.

Baadhi ya uzembe wa TET:
1. TIE wameshindwa kutupatia vitabu vya shule ya Msingi, kila wakitoa tukianza kuvitumia mara wanakuja kuvikusanya kwenda kuvichoma mtoto, wanasema vilikosewa.Hii imeshatokea mara 3. Mabilioni kwa mabilioni yanateketea, JPM ameshtuka.

2. Hivi sasa hatuna kitabu hata kimoja cha mtaala mpya. Wanafunzi wetu wa darasa la Nnne wanaenda kufanya mtihani wa taifa bila kusoma vitabu vya mtaaala mpya.Hakuna anayejali.

3. Hata vitabu vya shule zenye mchepuo wa kiingereza vilivyokuwa vikitusaidia katika kuandaa notes hawataki kuviona mashuleni hadi wavipe ithibati. Hata hivyo wamegoma kuvipa vyeti vya ithibati miaka miwili sasa. Wameapa kutotoa kabisa ithibati kwa kitabu chochote cha private publisher hata kama kimekidhi vigezo (hii siri kanitonya jamaa wa TET ndani) sababu ni ugomvi uliopo kati ya TET na Publishers. sijui ni ugomvi gani huo bado natafuta. Baadhi ya publishers wamegundua hilo na wameamua kuprint bila ithibati maana miezi ya kuprint kwa soko la mwakani ilikuwa ni mwezi wa 9.

4. Jamaa wa ndani YA SYSTEM kanitonya kuwa ubabaishaji wa TIE umeshafka kwa SIMBA WA VITA YA UFISADI NA UZEMBE na muda wowote Joyce atatumbuliwa na kuondolewa ubunge wake kisha kuteuliwa kuwa balozi kwenye moja ya nchi za America ya Kaskazini. Profesa mmoja wa saikolojia ya elimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara fulani atapewa ubunge na uwaziri wa elimu. Muda ni mwalimu mzuri tusubiri.

MTOTOTOO WAKIUMEE WEWE PAMBANA NA HALIYAKOO MASHAIRI KAMA HUNA FAMILIA AKITOLEWA MSHAHARA ANAKULA SHEMEJ??

JPM AOONGOZWI NA MAJUKWAAA MPWAA KAULIZE THREAD ZA MAKONSA ZILIENDA WAPII..RAISI WETU KICHWA ANA HEKIMA
 
Soma tetesi uelewe. Ni Profesa wa saikolojia ya elimu ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa maji. Kwa uelewa wako ni nani. Hujaambiwa ukomenti. Tegua kitendawili cha tetesi.
Kama hutaki nicomment umeweka hapa kwanini? Ungebaki nalo moyoni mwako basi! Isitoshe tetesi nayo huchangiwa. Au hii comment yangu imekutouch kimzee wa upako?
 
2019 vinapaswa kuwepo vitabu vya darasa la 1- 5 Mkuu sio 5, 6,7.
Hivi kwa mujibu wa sera ya elimu na mafunzo ya 2014, kutakuwa na darasa la saba kuanzia mwakani? Au ndo tutafuata kauli ya waziri mwenye dhamana iliyotolewa bungeni badala ya sera husika?
 
Acheni kuwaza kama darasa la 2.Unadhani Posi aliteuliwa ubalozi tu na yeye mwenyewe ndo akahamua kujiuzuru?
Ni.kwamba nafasi yake ya Ubunge alitakiwa pewa.mtu mwingine hata kama katiba haimpi mkuu uwezo wa kutengea, utaambiwa ujiuzulu mwenyewe.
Unaweza ukawa sahihi,lakini tusiwe wapiga ramli. Taarifa rasmi iliyotolewa ni kwamba amejiuzuru,hayo mengine siyajui.
 
Huyu ni miongoni mwa Mawaziri wa kiwango cha chini kabisa katika historia ya elimu nchini ukitoa Mungai na Shuku.
 
Uzembe usioendana na kasi ya JPM wa Taassisi ya Elimu Tanzania (TET) unaelekea kumponza Waziri Wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako. TET ambayo iko chini ya Wiazara yake imekuwa mzigo na ni sikio la kufa amabalo halisikii dawa, tetesi zilizopo ni kwamba sasa TET inaenda kumngo'oa Waziri mwenyewe.

Baadhi ya uzembe wa TET:
1. TIE wameshindwa kutupatia vitabu vya shule ya Msingi, kila wakitoa tukianza kuvitumia mara wanakuja kuvikusanya kwenda kuvichoma mtoto, wanasema vilikosewa.Hii imeshatokea mara 3. Mabilioni kwa mabilioni yanateketea, JPM ameshtuka.

2. Hivi sasa hatuna kitabu hata kimoja cha mtaala mpya. Wanafunzi wetu wa darasa la Nnne wanaenda kufanya mtihani wa taifa bila kusoma vitabu vya mtaaala mpya.Hakuna anayejali.

3. Hata vitabu vya shule zenye mchepuo wa kiingereza vilivyokuwa vikitusaidia katika kuandaa notes hawataki kuviona mashuleni hadi wavipe ithibati. Hata hivyo wamegoma kuvipa vyeti vya ithibati miaka miwili sasa. Wameapa kutotoa kabisa ithibati kwa kitabu chochote cha private publisher hata kama kimekidhi vigezo (hii siri kanitonya jamaa wa TET ndani) sababu ni ugomvi uliopo kati ya TET na Publishers. sijui ni ugomvi gani huo bado natafuta. Baadhi ya publishers wamegundua hilo na wameamua kuprint bila ithibati maana miezi ya kuprint kwa soko la mwakani ilikuwa ni mwezi wa 9.

4. Jamaa wa ndani YA SYSTEM kanitonya kuwa ubabaishaji wa TIE umeshafka kwa SIMBA WA VITA YA UFISADI NA UZEMBE na muda wowote Joyce atatumbuliwa na kuondolewa ubunge wake kisha kuteuliwa kuwa balozi kwenye moja ya nchi za America ya Kaskazini. Profesa mmoja wa saikolojia ya elimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara fulani atapewa ubunge na uwaziri wa elimu. Muda ni mwalimu mzuri tusubiri.
!
James Mbatia alishapiganagana sana kuhusu hili sakata la vitabu na Mtaala.naona serikali imeamua kuto kuwa sikivu kwa jambo hili la msingi kabisa.

bila kuwekasawa hili tutasubiri sana kuboresha elimu.pamoja na uwekezaji mkubwa huu kwenye elimu nadhani hili siyo jambo la kuwa kikwazo.labda inatakiwa iundwe tume ya elimu ya msing na sekondari kama ilivyo kwa tume ya vyuo vikuu.ili ijikite kushughulikia ubora wa eliimu ya msingi na sekondari.hii Taasis ya elimu mimi naonaga kama haina nguvu vile
 
Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Halafu na wavivu wa kufikiri wamekupa likes tu kama kwa kufuata mkumbo. Lumumba Fc kweli bila bila. Posi hakuwahi kuapa au ilikuwaje akatenguliwa ubunge na unaibu waziri akapewa ubalozi?
 
Halafu na wavivu wa kufikiri wamekupa likes tu kama kwa kufuata mkumbo. Lumumba Fc kweli bila bila. Posi hakuwahi kuapa au ilikuwaje akatenguliwa ubunge na unaibu waziri akapewa ubalozi?
Kila anayezungumzia katiba inasemaje anakuwa ccm, ugoro haukufai mkuu achana nao, sikuwahi na sitakuwa mwanachama wa ccm mpaka naingia kaburini, nijiunge na ccm kwa lipi hasa ilichowafanyia watanzania zaidi ya miaka 55 ilichokaa madarakani zaidi ya kuwatia umbumbu na umasikini wa akili Kama wako huu unaouonyesha humu...
 
Huyu hapa chini ni Dr. Abdalla Possi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa na Naibu Waziri, alivuliwa ubunge na Unaibu Waziri akateuliwa kuwa Balozi Ujerumani. Sikulaumu maana yawezekana ulikuwa hujui maana siku zote tunajifunza.

View attachment 927668
Huyu hakuvuliwa Ubunge, alijiuzulu mwenyewe(kwa hiari/kulazimishwa) baada ya teuzi za kiume kuzidi idadi iliyowekwa kikatiba(5/5). Ni kipindi cha teuzi za kina Kabudi.
 
Kwa hiyo nafasi 10 za Rais za uteuzi wa wabunge ziliongezeka au, na kama zimekuwa zikipungua mpaka sasa amebakiwa na ngapi?
Kwa wanaume ziliisha, sina uhakika na zile za wanawake
 
Sasa iweje? Mkuu ubunge huwa hauvuliwi na mtu. Ukiteuliwa ndo moja kwa moja. Anyway, huyu mama ni adui wa elimu tokea kule NECTA
 
Kama hutaki nicomment umeweka hapa kwanini? Ungebaki nalo moyoni mwako basi! Isitoshe tetesi nayo huchangiwa. Au hii comment yangu imekutouch kimzee wa upako?

Nonesense
 
Nonesense
Nani sasa? Huu usomi wako wa kiwango cha msukuma na kibajaji usikufanye ukajiona upo juu na unajua sana eeh! Nichungulie tena hapa jf uone nilivyo mnasihi mzuri na pia jitu katili lisilokuwa na kaba! Jitafakari!
 
Wakuu mbona wanadai huu mtaala mpya wa darasa la 4 ulipingwa bungeni. Piaa mpaka saivi wanakaribia kumaliza darasa la 4 lakini vitabu vya mwendelezo wa mtaala huo vya darasa la 5 bado sijabahatika kuviona.
 
Back
Top Bottom