Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzembe usioendana na kasi ya JPM wa Taassisi ya Elimu Tanzania (TET) unaelekea kumponza Waziri Wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako. TET ambayo iko chini ya Wiazara yake imekuwa mzigo na ni sikio la kufa amabalo halisikii dawa, tetesi zilizopo ni kwamba sasa TET inaenda kumngo'oa Waziri mwenyewe.
Baadhi ya uzembe wa TET:
1. TIE wameshindwa kutupatia vitabu vya shule ya Msingi, kila wakitoa tukianza kuvitumia mara wanakuja kuvikusanya kwenda kuvichoma mtoto, wanasema vilikosewa.Hii imeshatokea mara 3. Mabilioni kwa mabilioni yanateketea, JPM ameshtuka.
2. Hivi sasa hatuna kitabu hata kimoja cha mtaala mpya. Wanafunzi wetu wa darasa la Nnne wanaenda kufanya mtihani wa taifa bila kusoma vitabu vya mtaaala mpya.Hakuna anayejali.
3. Hata vitabu vya shule zenye mchepuo wa kiingereza vilivyokuwa vikitusaidia katika kuandaa notes hawataki kuviona mashuleni hadi wavipe ithibati. Hata hivyo wamegoma kuvipa vyeti vya ithibati miaka miwili sasa. Wameapa kutotoa kabisa ithibati kwa kitabu chochote cha private publisher hata kama kimekidhi vigezo (hii siri kanitonya jamaa wa TET ndani) sababu ni ugomvi uliopo kati ya TET na Publishers. sijui ni ugomvi gani huo bado natafuta. Baadhi ya publishers wamegundua hilo na wameamua kuprint bila ithibati maana miezi ya kuprint kwa soko la mwakani ilikuwa ni mwezi wa 9.
4. Jamaa wa ndani YA SYSTEM kanitonya kuwa ubabaishaji wa TIE umeshafka kwa SIMBA WA VITA YA UFISADI NA UZEMBE na muda wowote Joyce atatumbuliwa na kuondolewa ubunge wake kisha kuteuliwa kuwa balozi kwenye moja ya nchi za America ya Kaskazini. Profesa mmoja wa saikolojia ya elimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara fulani atapewa ubunge na uwaziri wa elimu. Muda ni mwalimu mzuri tusubiri.
hakuvuliwa ubunge isipokuwa alijiuzulu ubungeHuyu hapa chini ni Dr. Abdalla Possi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa na Naibu Waziri, alivuliwa ubunge na Unaibu Waziri akateuliwa kuwa Balozi Ujerumani. Sikulaumu maana yawezekana ulikuwa hujui maana siku zote tunajifunza.
View attachment 927668
Kama hutaki nicomment umeweka hapa kwanini? Ungebaki nalo moyoni mwako basi! Isitoshe tetesi nayo huchangiwa. Au hii comment yangu imekutouch kimzee wa upako?Soma tetesi uelewe. Ni Profesa wa saikolojia ya elimu ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa maji. Kwa uelewa wako ni nani. Hujaambiwa ukomenti. Tegua kitendawili cha tetesi.
Hivi kwa mujibu wa sera ya elimu na mafunzo ya 2014, kutakuwa na darasa la saba kuanzia mwakani? Au ndo tutafuata kauli ya waziri mwenye dhamana iliyotolewa bungeni badala ya sera husika?2019 vinapaswa kuwepo vitabu vya darasa la 1- 5 Mkuu sio 5, 6,7.
Unaweza ukawa sahihi,lakini tusiwe wapiga ramli. Taarifa rasmi iliyotolewa ni kwamba amejiuzuru,hayo mengine siyajui.Acheni kuwaza kama darasa la 2.Unadhani Posi aliteuliwa ubalozi tu na yeye mwenyewe ndo akahamua kujiuzuru?
Ni.kwamba nafasi yake ya Ubunge alitakiwa pewa.mtu mwingine hata kama katiba haimpi mkuu uwezo wa kutengea, utaambiwa ujiuzulu mwenyewe.
!Uzembe usioendana na kasi ya JPM wa Taassisi ya Elimu Tanzania (TET) unaelekea kumponza Waziri Wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako. TET ambayo iko chini ya Wiazara yake imekuwa mzigo na ni sikio la kufa amabalo halisikii dawa, tetesi zilizopo ni kwamba sasa TET inaenda kumngo'oa Waziri mwenyewe.
Baadhi ya uzembe wa TET:
1. TIE wameshindwa kutupatia vitabu vya shule ya Msingi, kila wakitoa tukianza kuvitumia mara wanakuja kuvikusanya kwenda kuvichoma mtoto, wanasema vilikosewa.Hii imeshatokea mara 3. Mabilioni kwa mabilioni yanateketea, JPM ameshtuka.
2. Hivi sasa hatuna kitabu hata kimoja cha mtaala mpya. Wanafunzi wetu wa darasa la Nnne wanaenda kufanya mtihani wa taifa bila kusoma vitabu vya mtaaala mpya.Hakuna anayejali.
3. Hata vitabu vya shule zenye mchepuo wa kiingereza vilivyokuwa vikitusaidia katika kuandaa notes hawataki kuviona mashuleni hadi wavipe ithibati. Hata hivyo wamegoma kuvipa vyeti vya ithibati miaka miwili sasa. Wameapa kutotoa kabisa ithibati kwa kitabu chochote cha private publisher hata kama kimekidhi vigezo (hii siri kanitonya jamaa wa TET ndani) sababu ni ugomvi uliopo kati ya TET na Publishers. sijui ni ugomvi gani huo bado natafuta. Baadhi ya publishers wamegundua hilo na wameamua kuprint bila ithibati maana miezi ya kuprint kwa soko la mwakani ilikuwa ni mwezi wa 9.
4. Jamaa wa ndani YA SYSTEM kanitonya kuwa ubabaishaji wa TIE umeshafka kwa SIMBA WA VITA YA UFISADI NA UZEMBE na muda wowote Joyce atatumbuliwa na kuondolewa ubunge wake kisha kuteuliwa kuwa balozi kwenye moja ya nchi za America ya Kaskazini. Profesa mmoja wa saikolojia ya elimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara fulani atapewa ubunge na uwaziri wa elimu. Muda ni mwalimu mzuri tusubiri.
Halafu na wavivu wa kufikiri wamekupa likes tu kama kwa kufuata mkumbo. Lumumba Fc kweli bila bila. Posi hakuwahi kuapa au ilikuwaje akatenguliwa ubunge na unaibu waziri akapewa ubalozi?Rais akishamteua ubunge binadamu yoyote Yule kwa mujibu wa katiba yetu na Alisha kula kiapo Hana Tena mamlaka ya kutengua maamuzi yake Kama madc Rc na wakurugenzi, hii inadhibitisha habari yako hii Ni Ufukunuku...
Kwa hiari yake?Possi Rais akutengua bali Possi alijiuzuru Ubunge.
Kila anayezungumzia katiba inasemaje anakuwa ccm, ugoro haukufai mkuu achana nao, sikuwahi na sitakuwa mwanachama wa ccm mpaka naingia kaburini, nijiunge na ccm kwa lipi hasa ilichowafanyia watanzania zaidi ya miaka 55 ilichokaa madarakani zaidi ya kuwatia umbumbu na umasikini wa akili Kama wako huu unaouonyesha humu...Halafu na wavivu wa kufikiri wamekupa likes tu kama kwa kufuata mkumbo. Lumumba Fc kweli bila bila. Posi hakuwahi kuapa au ilikuwaje akatenguliwa ubunge na unaibu waziri akapewa ubalozi?
Kwa hiari yake au sio kwa hiari yake mi sijui. Nachojua ni kuwa Possi alijiuzuru...Kwa hiari yake?
Huyu hakuvuliwa Ubunge, alijiuzulu mwenyewe(kwa hiari/kulazimishwa) baada ya teuzi za kiume kuzidi idadi iliyowekwa kikatiba(5/5). Ni kipindi cha teuzi za kina Kabudi.Huyu hapa chini ni Dr. Abdalla Possi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa na Naibu Waziri, alivuliwa ubunge na Unaibu Waziri akateuliwa kuwa Balozi Ujerumani. Sikulaumu maana yawezekana ulikuwa hujui maana siku zote tunajifunza.
View attachment 927668
Kwa wanaume ziliisha, sina uhakika na zile za wanawakeKwa hiyo nafasi 10 za Rais za uteuzi wa wabunge ziliongezeka au, na kama zimekuwa zikipungua mpaka sasa amebakiwa na ngapi?
Kama hutaki nicomment umeweka hapa kwanini? Ungebaki nalo moyoni mwako basi! Isitoshe tetesi nayo huchangiwa. Au hii comment yangu imekutouch kimzee wa upako?
Nani sasa? Huu usomi wako wa kiwango cha msukuma na kibajaji usikufanye ukajiona upo juu na unajua sana eeh! Nichungulie tena hapa jf uone nilivyo mnasihi mzuri na pia jitu katili lisilokuwa na kaba! Jitafakari!Nonesense