Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 699
Itakuwa ni jambo la maana sana kama mh rais katambua udhaifu wa waziri wa elimu. Elimu inaenda kaburini, watoto watasomaje bila kuwa na vitabu? Private publishers walikataliwa kuuza vitabu mashuleni kisa TET itatoa, badala yake kila wakichapa vina makosa, mwaka wa 3 huu hakuna vitabu shuleni. Publishers wanavyo vyote, toka Std 1 to VII. Nunueni vitabu vya publishers vilivyo na ubora, walimu tunafundisha kwa uzoefu tuu, tunajenga nyumba moja (taifa) ugomvi na publishers wa nini?