/s/wene bado sana viatu vinampwayaSimbachawene anachagua matukio ywnayomfurahisha yeye na waliompa mkate. Halafu anayasherehesha kwenye vyombo vya habari ili aonekane yuko serious na kazi.
Simbachawene yuko dunia gani? Hajasikia kwamba:-
Ben Sa8 hajulikani alipo?
Azory Gwanda alitekwa?
Tundu Lisu alipigwa risasi hadharani?
Mashamba ya Mbowe yaliharibiwa?
CMG walivamiwa na Makonda?
Kwann Simbachawene asiliamuru jeshi kuchunguza na kuwakamata waliohusika na uharifu huu?
Msitufanye wajinga. Siku nikija kuwa kiongozi (rais) wa nchi hii Simbachawene na wenzako hata mkiwa mmekufa nitawasulubu.
Lkn wanakera Sana hawa jamaa
Kwan hawa wa sasa wanalipiza kisasi ama wanatenda kwa mara ya kwanza?Tuliza mshono dogo, kama unadhani unaweza kulupiza kisasi kwa nini uzuie wanaofanya hivyo kwa sasa?
Tumia akili kabla ya kuandika hapa.
Hoja ya kijinga iliyoandikwa na mjingaMkuu na ww uko dunia gani? Je haukusikia kuwa Chacha Wangwe aliuwawa kisa tu kahoji sababu ya mwenyekiti kuondoa ukomo wa madaraka bila kufuata sheria? Zito Kabwe alipojaribu kumchallenge mwenyekiti alinusurika kupewa sumu na baada ya kushtukia akafukuzwa chamani kama mbwa, hapo hatujazungumzia wengine walioambiwa kuwa sumu haionjwi kwa ulimi, hii kauli ni kubwa na ilibeba maana nzito sana ukilinganisha na matukio yaliotokea kwa kina Chacha, Zito na wenzao.
Simbachewene = konda/ utingo wa daladala.Simbachawene anachagua matukio yanayomfurahisha yeye na waliompa mkate. Halafu anayasherehesha kwenye vyombo vya habari ili aonekane yuko serious na kazi.
Simbachawene yuko dunia gani? Hajasikia kwamba:-
Ben Sa8 hajulikani alipo?
Azory Gwanda alitekwa?
Tundu Lisu alipigwa risasi hadharani?
Mashamba ya Mbowe yaliharibiwa?
CMG walivamiwa na Makonda?
Kwann Simbachawene asiliamuru jeshi kuchunguza na kuwakamata waliohusika na uhalifu huu?
Msitufanye wajinga. Siku nikija kuwa kiongozi (rais) wa nchi hii Simbachawene na wenzako hata mkiwa mmekufa nitawasulubu.
Pusi mweusi wewe.Mkuu na ww uko dunia gani? Je haukusikia kuwa Chacha Wangwe aliuwawa kisa tu kahoji sababu ya mwenyekiti kuondoa ukomo wa madaraka bila kufuata sheria? Zito Kabwe alipojaribu kumchallenge mwenyekiti alinusurika kupewa sumu na baada ya kushtukia akafukuzwa chamani kama mbwa, hapo hatujazungumzia wengine walioambiwa kuwa sumu haionjwi kwa ulimi, hii kauli ni kubwa na ilibeba maana nzito sana ukilinganisha na matukio yaliotokea kwa kina Chacha, Zito na wenzao.
Na hawataki kumtaja aliyekuwa anatembea na sumu mkononi! Mafaili yapo ni maamuzi tu kuamua kuyaacha na mavumbi yake.Zito Kabwe alipojaribu kumchallenge mwenyekiti alinusurika kupewa sumu na baada ya kushtukia akafukuzwa chamani kama mbwa
Unayaachaje mama mtu amefanya kosa kweli???Na hawataki kumtaja aliyekuwa anatembea na sumu mkononi! Mafaili yapo ni maamuzi tu kuamua kuyaacha na mavumbi yake.
Naona una hasira kwa sababu siku hizi unalala peke yako ndani, yule aliekuwa anakulaza na kukupumulia mgongoni amefungwa kwahiyo lazima uumie na ukizingatia ulikuwa ushazoea kibunzi chake kikuparue mtaro. Btw jamaa yuko jela huenda kati ya kesi alizonazo hizi nazo zipo, so usiwapangie polisi cha kufanya. Kama imekuuma omba na ww upewe kesi ili ukalale nae tena huko jela chizi wee.Pusi mweusi wewe.
Badala ya kujibu hoja anaimba taarabu kama haijaisha kopa akiwa chimwaga kumpigia kura yule wa mirembe?
Hizo zote ulizotaja ni police cases sasa kama polisi hawajachukua hatua haimanish8i kwamba nyingine ziachwe!
Wawapi wewe
Akili zako zimeishia hapo.Naona una hasira kwa sababu siku hizi unalala peke yako ndani, yule aliekuwa anakulaza na kukupumulia mgongoni amefungwa kwahiyo lazima uumie na ukizingatia ulikuwa ushazoea kibunzi chake kikuparue mtaro. Btw jamaa yuko jela huenda kati ya kesi alizonazo hizi nazo zipo, so usiwapangie polisi cha kufanya. Kama imekuuma omba na ww upewe kesi ili ukalale nae tena huko jela chizi wee.
Wacha uongo wa kimpalange wewe, Chacha Wangwe aliuwawa na maccm na kitengo. Walimchochoe alete vurugu na ugomvi ulipokomaa ndiyo maccm kwa msaada wa kitengo wakamuua kwa matarajio ya kumuanguashia jumba bovu Mbowe lakini mpango huu uli backfire na majibu waliyaona kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge kuziba nafasi ya Chacha Wangwe, CCM walivuna aibu kubwa na Mzee Makamba aliondoka usiku wa manane baada ya Wakurya kuwaadabisha CCM na theory yao ovu ya kutaka kumsingizia Mbowe kwa mauaji waliyoyafanya wenyewe kwa mikono yao. Hii stori ilisha vunda hata wewe unayejaribu kuifufua unaonekana mshamba fulani usiyejua chochote zaidi ya stori mnazopaeana mkikuna nazi.Mkuu na ww uko dunia gani? Je haukusikia kuwa Chacha Wangwe aliuwawa kisa tu kahoji sababu ya mwenyekiti kuondoa ukomo wa madaraka bila kufuata sheria?
Zito Kabwe alipojaribu kumchallenge mwenyekiti alinusurika kupewa sumu na baada ya kushtukia akafukuzwa chamani kama mbwa, hapo hatujazungumzia wengine walioambiwa kuwa sumu haionjwi kwa ulimi, hii kauli ni kubwa na ilibeba maana nzito sana ukilinganisha na matukio yaliotokea kwa kina Chacha, Zito na wenzao.
Ashukuru uwepo wa OPEN UNIVERSITYNdiyo maana uwezo wake mdogo sana