Siku zaja ambapo wanaoamuru wenzao wahojiwe nao watahojiwa

Siku zaja ambapo wanaoamuru wenzao wahojiwe nao watahojiwa

Simbachawene anachagua matukio yanayomfurahisha yeye na waliompa mkate. Halafu anayasherehesha kwenye vyombo vya habari ili aonekane yuko serious na kazi.

Simbachawene yuko dunia gani? Hajasikia kwamba:-
Ben Saanane hajulikani alipo?
Azory Gwanda alitekwa?
Tundu Lisu alipigwa risasi hadharani?
Mashamba ya Mbowe yaliharibiwa?
CMG walivamiwa na Makonda?

Kwanini Simbachawene asiliamuru jeshi kuchunguza na kuwakamata waliohusika na uhalifu huu?

Msitufanye wajinga. Siku nikija kuwa kiongozi (rais) wa nchi hii Simbachawene na wenzako hata mkiwa mmekufa nitawasulubu.
Dawa yao katiba mpya tuu, inawatosha
 
Akili zako zimeishia hapo.
Hata ukitukana matusi kiasi gani hayupo atakayekuona wewe una akili timamu.
Akili zako ndogo hata kushindwa kujua mnajadili nini badala yake unaishia matusi
Kiroboto wewe
Ukiona mtoto wa kiume anakimbilia kumtetea na kumkingia kifua mwanaume mwenzie basi ujue hapo kuna mambo mawili yanayomfanya amtete. Mambo hayo ni (1) inawezekana ashavuliwa suruali na yule anaemtetea kwahiyo amenogewa na kuonesha ushirikiano mkubwa kwa huyo aliemvua suruali, (2) Ni msukule, mtumwa au mbumbu anaejipendekeza kwa mume, bwana au baba wa wenzake ili siku moja na yey akumbukwe na yule aliemtetea na ikiwezekana na yey aonjeshwe vile wanavyoonja wenzake. Hivi ulikuwa na maana gani ya kuniita mimi pusi? Kwahiyo ww kuniita mimi hivyo uliona sawa lkn ww nilivyokujibu ndo uliona sio sawa? Kwann ulikimbilia kuni quote kwa comment niliyoandika kwa mtu mungine? Ina maana ww unauchungu na mume wa mtu zaidi ya uchungu alio nao mkewe. Nilitegemea ungeniambia kuwa ww ni mkewe na umekuja humu kumtetea mumewe hapo ningeelewa, lkn sio kijana wa kiume unakimbilia kum quote mtu na kuandika ujinga dhidi yake kisa katajwa mwanaume mwenzio, za wapi hizo!
 
Mkuu na ww uko dunia gani? Je haukusikia kuwa Chacha Wangwe aliuwawa kisa tu kahoji sababu ya mwenyekiti kuondoa ukomo wa madaraka bila kufuata sheria?

Zito Kabwe alipojaribu kumchallenge mwenyekiti alinusurika kupewa sumu na baada ya kushtukia akafukuzwa chamani kama mbwa, hapo hatujazungumzia wengine walioambiwa kuwa sumu haionjwi kwa ulimi, hii kauli ni kubwa na ilibeba maana nzito sana ukilinganisha na matukio yaliotokea kwa kina Chacha, Zito na wenzao.
Vipi Mzee MANGULA PALE LUMUMBA NINI KILIMPATA?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom