kweli kabisa mkuuNi mentality ya watu wengi wa nchi hii, wanataka kubanana chini wote!
Hilo la Diamond kuuza nyumba, hata kama kwa geresha naliona sana!!!!Kuhusu hilo la watoto huwezi mpangia diamond cha kulipa cha zaidi anaweza akaamua kuuza ile nyumba ya South afu zari arudi kwenye nyumba ya ivan..
Bibi Nyau,nasikia waganga wa majini wanakesha madale kila mwezi,ubani unanuka mtaa mzima,nadhani dogo atakuwa anayajua makaburi yote ya DarTatizo lingine ni kukosa shule ya maana.Diamond na wenzake wangewekeza pesa kwenye shule au kuajiri watu wenye fani sahihi,kama meneja ni Babu Tale na mkubwa Fela watamuongoza katika nini zaidi ya kumpeleka kwa Bibi nyau na kubeba tunguli.Super star anayeweka jiwe kwenye suruali ili aonekane na kiungo kikubwa cha uzazi huyo naye ni super star?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Bibi Nyau,nasikia waganga wa majini wanakesha madale kila mwezi,ubani unanuka mtaa mzima,nadhani dogo atakuwa anayajua makaburi yote ya Dar
Safi saana kwa jibu hili na huyu mtoa mada anawakilisha watanzania wengi wanaosapoti matajiri kushushwa kuishi kishetani wakat hawapati faida yeyote.Acha ramli chonganishi wewe, asubuhi yote hii unamuwazia mwenzio aporomoke, umeshindwa kabisa kuwaza wapi uende hata kuomba kibarua,
DIAMOND hashuki leo wala kesho, na hela za matunzo ya watoto haziwez kumfilisi, UNAJUA DIAMOND analisha familia ngapi mjini hapa?
[emoji15] [emoji15] povuAcha ramli chonganishi wewe, asubuhi yote hii unamuwazia mwenzio aporomoke, umeshindwa kabisa kuwaza wapi uende hata kuomba kibarua,
DIAMOND hashuki leo wala kesho, na hela za matunzo ya watoto haziwez kumfilisi, UNAJUA DIAMOND analisha familia ngapi mjini hapa?
Mkuu ulienda kumkagua kama kaweka jiwe?ulibak salama kweli?Tatizo lingine ni kukosa shule ya maana.Diamond na wenzake wangewekeza pesa kwenye shule au kuajiri watu wenye fani sahihi,kama meneja ni Babu Tale na mkubwa Fela watamuongoza katika nini zaidi ya kumpeleka kwa Bibi nyau na kubeba tunguli.Super star anayeweka jiwe kwenye suruali ili aonekane na kiungo kikubwa cha uzazi huyo naye ni super star?
Habari za Kufikirika hizi,Diamond anasema Zari si mkewe? La hasha,kwa sheria za Tanzania,ukikaa na mwanamke miaka miwili na ikathibitika watu wanajua huyo ni mke wa fulani, hiyo ni ndoa,inaitwa presumption of marriage
Na ikivunjwa,zile mali zilizopatikana kipindi cha mahusiano,hugawanywa kwa wanandoa,japo si sawa kwa sawa
Tujiandae kumuona zari akiibuka na Nyumba na Viwanja kadhaa vya diamond,na ninavyomuona zari,ataidaka ile Nyumba ya south afrika na diamond atabaki na kibanda umiza cha madale
Mbali na mwanandoa kupata haki yake, pia kisheria watoto chini ya miaka saba hudhaniwa wanafaa kukaaa na mama yao,hivyo baba wa mtoto hulazimika kuwapa matunzo kwa mujibu wa living standard yao,wamezoea kupata na ndege kwenda south na uganda mara kadhaa kwa mwezi,haya matunzo najua hayatapungua milioni kumi kwa mwezi kwa watoto wawili
Diamond utapiga show mpaka manzese ili upate hela hizo,na bado yule dada uliyezaa naye sijui ataomba mahakama ikuamuru uwe unampa shilingi ngapi kwa mwezi
Nashauri wale waliozaa naye wafunguke kwa wingi na wafungue kesi mahakamani,watakuwa wanajipatia vimilioni vya bure kila mwezi,asipolipa anatupwa segere matata(segerea) akanyee debe
Natabiri tu kuwa utafilisika soon,kipesa na kimashairi,na utajiunga na chidi na Mr nice