Siku Zari akipeleka kesi ya matunzo ya watoto wawili mahakamani,M10 kwa mwezi,utakuwa mwanzo wa Diamond kufilisika!

Siku Zari akipeleka kesi ya matunzo ya watoto wawili mahakamani,M10 kwa mwezi,utakuwa mwanzo wa Diamond kufilisika!

Hahahahah hiii thread inachekesha sana, watanzania jamani
 
Tatizo lingine ni kukosa shule ya maana.Diamond na wenzake wangewekeza pesa kwenye shule au kuajiri watu wenye fani sahihi,kama meneja ni Babu Tale na mkubwa Fela watamuongoza katika nini zaidi ya kumpeleka kwa Bibi nyau na kubeba tunguli.Super star anayeweka jiwe kwenye suruali ili aonekane na kiungo kikubwa cha uzazi huyo naye ni super star?
 
Mawazo ya kimaskini kabisa haya!!!! Kwanini ufikirie itakuwa ndo mwanzo wa kufilisika kwa Diamond na usifikirie itakuwa ndo mwanzo wa matunzo bora kwa watoto kwa sababu pesa nyingi itakuwa inatoka?!

Yaani watu mnafikiria mabaya tu? Haya mambo mengine ndo maana unakuta mtu anazidi kupata tu manake Mungu anaona mishetani imemzunguka kijana na hivyo Mungu anachukua wajibu wa kumlinda yeye mwenyewe ili kudhibiti roho za kishetani!!!
 
Kuhusu hilo la watoto huwezi mpangia diamond cha kulipa cha zaidi anaweza akaamua kuuza ile nyumba ya South afu zari arudi kwenye nyumba ya ivan..
Hilo la Diamond kuuza nyumba, hata kama kwa geresha naliona sana!!!!

Unajua Diamond ana connection nyingi sana! Anaweza kuingiza nyumba sokoni akainunua mtu wake na ikaishia kuandikwa jina la Bi. Sandra kabla ya kufanya transfer of ownership hapo baadae!!!
 
Tatizo lingine ni kukosa shule ya maana.Diamond na wenzake wangewekeza pesa kwenye shule au kuajiri watu wenye fani sahihi,kama meneja ni Babu Tale na mkubwa Fela watamuongoza katika nini zaidi ya kumpeleka kwa Bibi nyau na kubeba tunguli.Super star anayeweka jiwe kwenye suruali ili aonekane na kiungo kikubwa cha uzazi huyo naye ni super star?
Bibi Nyau,nasikia waganga wa majini wanakesha madale kila mwezi,ubani unanuka mtaa mzima,nadhani dogo atakuwa anayajua makaburi yote ya Dar
 
Acha ramli chonganishi wewe, asubuhi yote hii unamuwazia mwenzio aporomoke, umeshindwa kabisa kuwaza wapi uende hata kuomba kibarua,

DIAMOND hashuki leo wala kesho, na hela za matunzo ya watoto haziwez kumfilisi, UNAJUA DIAMOND analisha familia ngapi mjini hapa?
Safi saana kwa jibu hili na huyu mtoa mada anawakilisha watanzania wengi wanaosapoti matajiri kushushwa kuishi kishetani wakat hawapati faida yeyote.
 
Hivi diamond ni Nan namsikia sana akiongelewa ila sijui ni Nan au naye mbunge
 
Trust me 80 % of Tanzanians are witches and sorcerers driven by their own poverty striken life and envy to prosperity / successes of others
 
Ila hawajakaa miaka miwili ujue we mtoa mada. Mtu alijifungia akakaa sijuo mwezi, siku nyingine ni kuja kwa ndege few days nakurudi.
Ila Naseeb kiboko kasema SIJAOA
 
Acha ramli chonganishi wewe, asubuhi yote hii unamuwazia mwenzio aporomoke, umeshindwa kabisa kuwaza wapi uende hata kuomba kibarua,

DIAMOND hashuki leo wala kesho, na hela za matunzo ya watoto haziwez kumfilisi, UNAJUA DIAMOND analisha familia ngapi mjini hapa?
[emoji15] [emoji15] povu
 
Tatizo lingine ni kukosa shule ya maana.Diamond na wenzake wangewekeza pesa kwenye shule au kuajiri watu wenye fani sahihi,kama meneja ni Babu Tale na mkubwa Fela watamuongoza katika nini zaidi ya kumpeleka kwa Bibi nyau na kubeba tunguli.Super star anayeweka jiwe kwenye suruali ili aonekane na kiungo kikubwa cha uzazi huyo naye ni super star?
Mkuu ulienda kumkagua kama kaweka jiwe?ulibak salama kweli?
 
Diamond anasema Zari si mkewe? La hasha,kwa sheria za Tanzania,ukikaa na mwanamke miaka miwili na ikathibitika watu wanajua huyo ni mke wa fulani, hiyo ni ndoa,inaitwa presumption of marriage

Na ikivunjwa,zile mali zilizopatikana kipindi cha mahusiano,hugawanywa kwa wanandoa,japo si sawa kwa sawa

Tujiandae kumuona zari akiibuka na Nyumba na Viwanja kadhaa vya diamond,na ninavyomuona zari,ataidaka ile Nyumba ya south afrika na diamond atabaki na kibanda umiza cha madale

Mbali na mwanandoa kupata haki yake, pia kisheria watoto chini ya miaka saba hudhaniwa wanafaa kukaaa na mama yao,hivyo baba wa mtoto hulazimika kuwapa matunzo kwa mujibu wa living standard yao,wamezoea kupata na ndege kwenda south na uganda mara kadhaa kwa mwezi,haya matunzo najua hayatapungua milioni kumi kwa mwezi kwa watoto wawili

Diamond utapiga show mpaka manzese ili upate hela hizo,na bado yule dada uliyezaa naye sijui ataomba mahakama ikuamuru uwe unampa shilingi ngapi kwa mwezi

Nashauri wale waliozaa naye wafunguke kwa wingi na wafungue kesi mahakamani,watakuwa wanajipatia vimilioni vya bure kila mwezi,asipolipa anatupwa segere matata(segerea) akanyee debe

Natabiri tu kuwa utafilisika soon,kipesa na kimashairi,na utajiunga na chidi na Mr nice
Habari za Kufikirika hizi,
Mahakama gani itakayoridhia Matumizi ya watoto kwa mwezi kua Tshs 10mil??
 
Naona unatafuta followers
32d400ce4a0852d46f39b95a646f0307.jpg
 
Sisi maskin tuna roho mbaya sana....yaan 2nataman alefanikiwa afilisike na awe maskin ama hata zaid kiliko sisi....kwa akiki na fikra hizo, kamwe huez tajirika ama fanikiwa....
Na maskin uchwara wengi mtaan huko hujiita ma papaaaaa.....sa sijui upapaa gan maskin kama ndo m2 ana fikra za kimaskin hivi....!
 
mi naboreka sana kwa jinsi watanzania wanavotumia nguvu nyingi kumpoteza diamond, sijui kawakosea nini wabongo aisee
 
Back
Top Bottom