Siku Zari akipeleka kesi ya matunzo ya watoto wawili mahakamani,M10 kwa mwezi,utakuwa mwanzo wa Diamond kufilisika!

Kwanza acha roho mbaya yakumwombea mwenzio mabaya.
Pili presumptio of marriage inatakiwa waishi pamoja. South na tz ni wap na wap? Wapo chini ya dari moja?
Ulitaka wakae kila siku bila kutoka chumbani?

Jiandaeni kupambana na the best lawyers in town,lazima mtu wenu aporomoke kama.mdomo wake
 
Mapunga ni wale ambao asubuhi hii hata mswaki hawajapiga wameshavaaa dela kupepeta umbea wakati maisha yao tu ni hohehae au ukute unaishi kwa shemeji pumbavu kabisa.
Pambana na hali yako mkuu,maisha yako ndio yana kufanya upande mwendokasi,usimlalamikie mtu, punga wewe
 
Hakutakuwa na presumption of marriage hapo, diamond hajakaa na zari kwa muda unaotaja, zari ni kama hawara kisheria maana alikuwa anakaa south wakati diamond akikaa tanzania.. (Sijui kama unaelewa maana ya makazi hapo?)

Kuhusu hilo la watoto huwezi mpangia diamond cha kulipa cha zaidi anaweza akaamua kuuza ile nyumba ya South afu zari arudi kwenye nyumba ya ivan..

Mwisho kabisa, punguza chuki usifanye furaha yako itegemee mambo ya mtu fulani kwenda vibaya..
Mkeo akienda ulaya ndio ndoa inaisha? Au akihamishiwa mkoa mwingine?

Hiyo Nyumba ya south zari ataiwekea caveat/zuio isiuzwe,zari south ni mwenyeji na ndiye alimtoa ushamba domo kwa kumpeleka huko,anajua kona zote kuliko hata anavyojua kona za chumbani kwake
 
Mchawi sio lazima awange matendo yake tu yanadhihirisha kwamba yeye mchawi.
 
Mnanikumbusha wimbo wa Vijana Jazz "UMAARUFU WA MAPENZI " na kwa hili Diamond atahangaishwa sana!!! Mara Zari, mara Hamisa na mara sijui nani vile !!! Atulie ajipange aachane na hawa wanawake maarufu watamhangaisha aichukie dunia
 
Pambana na hali yako mkuu,maisha yako ndio yana kufanya upande mwendokasi,usimlalamikie mtu, punga wewe
Wewe huwezi kuwa hata kijakazi wangu choko kabisa.

Kwa taarifa yako tunaomiliki magari tukifika mjini mwendo kasi ni muokozi wetu kwa mishe za fasta fasta unapaki gari unapanda mwendo kasi.

Maandishi haya yanadhihirisha wazi una lack of exposure tembea uone siyo umbea bali watu wanaishi vipi na kwa nini used Car zikiletwa Tanzania zinaonekana mpya.

Wewe hustahili kula muda wangu kwa sababu ni heri hata mabinti wanaojielewa naweza kudiscuss nao kitu na siyo wewe usiyejitambuwa mwenye homoni za kike.

Ati pambana na hali!! Hivi kuna mpambanaji yeyote yule duniani hapa anaweza kuamka asubuhi hajapiga hata mswaki kumuwangia mwanaume anayetafuta pesa za halali?

Hivi Diamond akifirisika utajili wake unaamia kwako? Fanculo.
 
Mkeo akienda ulaya ndio ndoa inaisha? Au akihamishiwa mkoa mwingine?

Hiyo Nyumba ya south zari ataiwekea caveat/zuio isiuzwe,zari south ni mwenyeji na ndiye alimtoa ushamba domo kwa kumpeleka huko,anajua kona zote kuliko hata anavyojua kona za chumbani kwake
Zari ni Mke wa Ivan na ameachiwa urithi na Ivan na hawajahi kuvunja ndoa yao wala kwenye mazishi / msiba wa Ivan hakuna Mke akiyejitokeza zaid ya zari na ndie aliye simama kama Mke na miladi ya Ivan anaisimamia yeye ikiwa Pamoja na Shule iliyopo south . wakati Ivan akiwa hai aliwahi kupost huyo ni Mke wake hadi nyie wadau humu mkaamua kutoa Picha za kulinga Sula Tiffa na Ivan kuwa sio mtoto wa diamond. So diamond na zali ni wapenzi tena wezi diamond ameiba Mke wa MTU na kimila umekoti sheria zeru ni kwamba kitanda hakizai haramu so Kwakuwa Ivan ni Mume wa zari na zari kachepuka KUPATA watoto kwa Diamond kitanda hakizai haramu. Labda baada ya Ivan kufariki ndio Diamond amuoe Zari na wazae mtoto mwingine huyu ndio utakuwa mtoto wa Diamond na zari kama Mke na Mume na zari atakuwa na haki na Mali za Diamond .Hapo zari imekula kwake kakutana na mtoto wa mbagala imebuma.
 
Wewe huwezi kuwa hata kijakazi wangu choko kabisa.

Kwa taarifa yako tunaomiliki magari tukifika mjini mwendo kasi ni muokozi wetu kwa mishe za fasta fasta unapaki gari unapanda mwendo kasi.

Maandishi haya yanadhihirisha wazi una lack of exposure tembea uone siyo umbea bali watu wanaishi vipi na kwa nini used Car zikiletwa Tanzania zinaonekana mpya.

Wewe hustahili kula muda wangu kwa sababu ni heri hata mabinti wanaojielewa naweza kudiscuss nao kitu na siyo wewe usiyejitambuwa mwenye homoni za kike.

Ati pambana na hali!! Hivi kuna mpambanaji yeyote yule duniani hapa anaweza kuamka asubuhi hajapiga hata mswaki kumuwangia mwanaume anayetafuta pesa za halali?

Hivi Diamond akifirisika utajili wake unaamia kwako? Fanculo.
Bwege kabisa
 
Hebu hizo sheria hamna, huyo hamisa hata kama angezaa na bakheresa, angelipwa ela kutokana na mujibu ya sheria na si kujipangia yy apewe shilling ngapi, basi ingekukuwa hivyo watu wengi wangekuwa matajiri. Mwangalie huyu dem Nia alizaa na Cris brown akampeleka mahakamani, eti anataka $16000 ,mwisho wa siku mahakama ikamwambia atoe $2500 kwa mwezi kwa ajili ya matumizi ya mtoto, sasa angalia cris brown na mihela yote aliyokuwa nayo anatoa $2500.Huyo demu mwacheni anakurupuka na huyo mwanasheria anamlia ela yake
Screenshot_2017-10-05-19-45-51.png
 
Wewe huwezi kuwa hata kijakazi wangu choko kabisa.

Kwa taarifa yako tunaomiliki magari tukifika mjini mwendo kasi ni muokozi wetu kwa mishe za fasta fasta unapaki gari unapanda mwendo kasi.

Maandishi haya yanadhihirisha wazi una lack of exposure tembea uone siyo umbea bali watu wanaishi vipi na kwa nini used Car zikiletwa Tanzania zinaonekana mpya.

Wewe hustahili kula muda wangu kwa sababu ni heri hata mabinti wanaojielewa naweza kudiscuss nao kitu na siyo wewe usiyejitambuwa mwenye homoni za kike.

Ati pambana na hali!! Hivi kuna mpambanaji yeyote yule duniani hapa anaweza kuamka asubuhi hajapiga hata mswaki kumuwangia mwanaume anayetafuta pesa za halali?

Hivi Diamond akifirisika utajili wake unaamia kwako? Fanculo.
Usinililie Mimi,sikukuleta mjini,pambana na hali yako pimbi wewe
 
Ndio maana waislamu wanataka mahakama ya kadhi, kwa taratibu za kiislamu hao watoto wote ni wa wanawake Diamond hana hata mtoto mmoja na hastahili hata kuhudumia/kutowa matunzo. Hilo ni jukumu la mama dhao.
 
Wewe ni muislamu ubwawa wa kwenye shughuli?

Weka aya inayosema hayo nikujibu fasta
 
Back
Top Bottom