Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Wahusika toeni taarifa siku ya kutoa ripoti. Kama siku zimeongezwa tena semeni!
Naunga mkono hojaWameingiza story mtaani ya watu kupoteza nyeti ili tusahau…
Sio mchezo system inacheza na akili za Watu, walianzia Songwe, wakaja Kimara sasa hivi utasikia Mwanza au Dodoma!! Haitafanya kazi! HatutahamaNaunga mkono hoja
Na wale wanao hojiwa kuna uwezekano wakawa ni watu wa propaganda kutoka kwenye mifumo yaoSio mchezo system inacheza na akili za Watu, walianzia Songwe, wakaja Kimara sasa hivi utasikia Mwanza au Dodoma!! Haitafanya kazi! Hatutahama
Na kina Kiziga na ma CAGHuu ni ujinga kama sio upuuz ! Kila mtu aliona ama anajua kilochotokea, huyo anayesubiri ripoti atakuwa hakielewi !
#tuishi
Kabisa!Na wale wanao hojiwa kuna uwezekano wakawa ni watu wa propaganda kutoka kwenye mifumo yao
Wavue nguo tuone zimepotea!Wameingiza story mtaani ya watu kupoteza nyeti ili tusahau…
Ndio maana wamepeleka kwenye nyetiWavue nguo tuone zimepotea!
Zama hizi wanabuni spins za kijinga hivyo! Eti nyeti inapoteaSio mchezo system inacheza na akili za Watu, walianzia Songwe, wakaja Kimara sasa hivi utasikia Mwanza au Dodoma!! Haitafanya kazi! Hatutahama
Kabisa kama ile inshu ya popo bawa 2004 na 2006 kule mbagalaKabisa!
Unaona kabisa ni targeted witness
Wanasahau rasilimali zetu wanazoiba ni muhimu hata kuliko nyeti zenyeweZama hizi wanabuni spins za kijinga hivyo! Eti nyeti inapotea
Wametoa taarifa au ndo kimya kimyaWamesogeza hadi 20 mambo mengi, ile teuzi ya kizi imesabotage kabisa uhalali wa ripoti ya Tume
Wanamsomea samia kwanza wafanye editing kabla ya kuja kwa halaikiWahusika toeni taarifa siku ya kutoa ripoti. Kama siku zimeongezwa tena semeni!
SahihiNa kina Kiziga na ma CAG
Mafuta piaSahihi