Siku zinakwenda kwa kasi sana. Mwonekano kama huu ulikuwa ni ndoto miezi michache iliyopita na watu ni wale wale

Siku zinakwenda kwa kasi sana. Mwonekano kama huu ulikuwa ni ndoto miezi michache iliyopita na watu ni wale wale

Walikuwa wamekabidhi akili zao kwa dhalim,walibakishiwa za kuvalia nguo na kwendea chooni tu
Siyo kweli!! Wanavaa barakoa tu wanapokuwa mbele ya kamera! Hawa si tunawafahamu na wanaishi kwenye jamii miongoni mwetu!!!
 
Halafu mabeberu (G7 leaders) wenyewe hawana habari na barakoa wala social distancing!! Wanavyowaona viongozi wetu kuingia mkenge sijui wanawafikiriaje!! Mabeberu hao baada ya kikao chao na kuitishia dunia corona hewa hawa hapa wanajirusha:
1623673995027.png
 
Mabeberu (G7 leaders) wakiendelea kuung'ong'a ulimwengu kwa kushinikiza lockdown, barakoa na social distancing wakati wao wanafanya kufuru ya kutokuvaa barakoa, kukaribiana sana wakifurahia maisha!! Sijui wanatuonaje tunaposhobokea masharti yao kwa ajili ya kitu kidogo kwa gia ya "mkopo wenye masharti nafuu wa kupambana na corona hewa"! Hawa hapa:
1623675076544.png
 
View attachment 1818595
Wamechwanjwa hao

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Ila mzee hapa alichagua. Maza ni pisi kali balaa. Me napenda swaga zake za ki afrika. Hapigi mawigi wala nini yaani yupo natural brown skin...Namuelewa sana. In another life mzee atanisamehe tu lazima nimuwahi kabla hajafika.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mkuu 'Samcerzar', wewe ni mchekeshaji? Umenifanya nicheke mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom