comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo yanayompendeza yeye Mungu lakini unakuta wanateseka tuu.
Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika kipindi nitakua atheist ⚛️
Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika kipindi nitakua atheist ⚛️