Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
mimi najua, ndio maana hujasikia nikisema Mungu hayupo,nimekaa kimyaWewe mbona hujui na hukai kimya??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi najua, ndio maana hujasikia nikisema Mungu hayupo,nimekaa kimyaWewe mbona hujui na hukai kimya??
Hata ukawa tayari ni Atheist, haindoi uwepo wa Mungu...!!Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo yanayompendeza yeye Mungu lakini unakuta wanateseka tuu.
Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika kipindi nitakua atheist ⚛️
Kabisa.Mungu yupo ila dini ndo zina mkanganyiko, nadhani hamna dini ambayo binadamu hajapachika mavitu yake kwa manufaa yake.
Na uzuri huwa yanaonekana wazi ila wafia dini wanayafunika barabara.
Allah anasema katika suurat al zzumar kuanzia aya ya 56 zisome vizur zitakusaidia kuikoa nafsi yakoHakuna Mungu, Allah, Yesu, Jehovah, Jah, God anayetoa Afya wala uzima.
Hujuimimi najua,
Ni kweli usemalo ila haikupi wewe ruhusa ya kuwa katika hao waovu au ikawa sababu ya kukukinga na adhabu ya allah ukiwa pamoja nao kwasababu allah anasema katika Qur an Suurat Al Nahli Aya Ya 61Robo tatu ya dunia inaongozwa na shetani, hata hiyo robo iliyobaki itatekwa karibuni. Mungu yupo wapi?
Logical fallacies.Allah anasema katika suurat al zzumar kuanzia aya ya 56 zisome vizur zitakusaidia kuikoa nafsi yako
أَن تَقُولَ نَفْسٌ يَا حَسْرَتَىٰ عَلَىٰ مَا فَرَّطتُ فِي جَنبِ اللَّـهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ السَّاخِرِينَ﴿٥٦﴾
56. Isije nafsi ikasema: Ee majuto yangu kwa yale niliyozembea katika upande wa Allaah! Na hakika nilikuwa miongoni mwa wenye kufanya masikhara.
أَوْ تَقُولَ لَوْ أَنَّ اللَّـهَ هَدَانِي لَكُنتُ مِنَ الْمُتَّقِينَ﴿٥٧﴾
57. Au iseme: Lau Allaah Angeniongoza, bila shaka ningelikuwa miongoni mwa wenye taqwa(kumcha yeye).
أَوْ تَقُولَ حِينَ تَرَى الْعَذَابَ لَوْ أَنَّ لِي كَرَّةً فَأَكُونَ مِنَ الْمُحْسِنِينَ﴿٥٨﴾
58. Au iseme pale itakapoiona adhabu: Lau ningelikuwa na fursa ya kurudi (duniani) basi ningekuwa miongoni mwa wafanyao wema.
بَلَىٰ قَدْ جَاءَتْكَ آيَاتِي فَكَذَّبْتَ بِهَا وَاسْتَكْبَرْتَ وَكُنتَ مِنَ الْكَافِرِينَ﴿٥٩﴾
59. (Ataambiwa) lakini Wapi! Kwa yakini zilikujia Aayaat (na Ishara, Dalili) Zangu ukazikadhibisha, na ukatakabari na ukawa miongoni mwa makafiri.
Rudi kwa mola wako aliekuumba kutokan na tone la manii lilitiwa kwenye mfuko wa uzazi wa mama yako hauna haja ya kufanya kibri wakati umetoka kwenye njia mbili za haja ndogo
sawaHujui
هداك اللهLogical fallacies.
Mimi nakuacha ubishane na dini yako mwenyewe GenttlemanNi bora kufuatilia jambo kwa nia ya kujua na si mihemko kinachozngatiwa kwenye uislamu mwanamke kuolewa au mwanaume ni kubaleghe na mwanamke kuvunja ungo na sio miaka ,kwasababu mwanmke akishapevuka tu ashakuwa mkubwa ndio maan anaweza kubeba mimba,
Zinaa allah akakataza ndio maan karuhusu wanaume ambao wanaona kuwa hawawezi kujizuia kuoa,na yule asietosheka na mke mmoja aoe wawili kama bado basi aongeze watu hadi wa 4 kwa kauli yake allah katika suurat al nnisaa aya ya 3
وَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تُقْسِطُوا فِي الْيَتَامَىٰ فَانكِحُوا مَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاءِ مَثْنَىٰ وَثُلَاثَ وَرُبَاعَ ۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تَعْدِلُوا فَوَاحِدَةً أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ ۚ ذَٰلِكَ أَدْنَىٰ أَلَّا تَعُولُوا ﴿٣﴾
3. Na mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu kwa mayatima, basi oeni waliokupendezeni katika wanawake (wengine); wawili au watatu au wanne. Lakini mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu, basi mmoja tu au ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki.[2] Hivyo ni karibu zaidi kwamba hamtoelemea kudhulumu.[3]
Allah akuongozeMimi nakuacha ubishane na dini yako mwenyewe Genttleman
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Allah akuongoze