comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
- Thread starter
- #61
Wanaeza kua wao lakini wananihusu moja kwa moja, ndugu/wazazi au ukoo wanguKabla ya kuwa na haya mashaka umejiuliza kwanini wao sio wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaeza kua wao lakini wananihusu moja kwa moja, ndugu/wazazi au ukoo wanguKabla ya kuwa na haya mashaka umejiuliza kwanini wao sio wewe?
Mungu Yupo bhana
Jitahidi ule ushibe na unywe maji ya kutosha
.
Mungu Yupo bhana
Jitahidi ule ushibe na unywe maji ya kutosha
.
Huyu Hali akashiba na kunywa maji kwakwe ni Mtihani...Kwamba hapa inaweza kuwa chakula na maji ya kutosha Nakubali
Usitushirikishe ujinga wako bwana!Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo yanayompendeza yeye Mungu lakini unakuta wanateseka tuu.
Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika kipindi nitakua atheist ⚛️
Dunia sio sehemu salama kwa watu wadhaifu.Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo yanayompendeza yeye Mungu lakini unakuta wanateseka tuu.
Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika kipindi nitakua atheist ⚛️
HahaaaaaaMambo yako yatakuwa yanakuendea vyema.
Subiri ukitembelewa na tezi dume utatuletea mrejesho.
Kuwa na akiba ya maneno kijanaMungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Watu wanahangaika sana kumuongelea na kumuelezea huyo Mungu, Kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea na kujidhihirisha mwenyewe yeye kama yeye, kwamba yupo.
In the jungle of life Salvation is largely on your hands, There is no God who is there to help you.
Msadie kujibu, maana nimeuliza kulingana na maelezo yake. Kama unaona wewe ndiye mwenye jibu, then jibu maswali yangu na niulize baada ya kuyajibu.Unachofanya unataka kumnyamazisha mtoa mada.
Braza Hoja haipigwi nyundo.
Toa jibu la hoja.....
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mungu unajuaje Ndio anakusaidia kwenye Maisha yakoTubu unakufuru kabla hujafa mtoa mada ipo siku utamshuhudia ya kuwa Mungu yupo na kuomba msaada wake.
Ni bora kufuatilia jambo kwa nia ya kujua na si mihemko kinachozngatiwa kwenye uislamu mwanamke kuolewa au mwanaume ni kubaleghe na mwanamke kuvunja ungo na sio miaka ,kwasababu mwanmke akishapevuka tu ashakuwa mkubwa ndio maan anaweza kubeba mimba,Unamzungumzia Mola gani..? au huyu;
1. Ambaye anaruhusu watu wake wawaingilie mbinti wa miaka9... Mfano mzuri mtume wenu;
View attachment 3074591
Huyuhuyu ambae watu wake ndo hawa ⬇️⬇️ wanatamani pia kuonja utamu wa bikra;
View attachment 3074596
2. Huyuhuyu Ambaye amekataza uzinzi duniani...
Halafu atakupa wanawake 72 mabikra na nguvu ya kuwapiga mshindo wote....
View attachment 3074595
Teh! Teh! Teh!
Unazungumza hivyo kwasababu ya afya na uzima ulio nao ila usisahau kuwa walipita watu kabla yako nao walikadhibisha uwepo wa allah kama alivyoeleza katk suurat al qalamNdivyo nature ilivyo.
Na kila kitu ni part ya nature hiyohiyo.
Kuzaliwa na kufa sio kigezo cha uwepo wa huyo Mungu.
Allah sio jini ni muumba wa hao majin pamoja na binadam na kila kitu kama alivyosema katika Qur an Suurat Al hijirusimpeleke huko. allah sio Mungu, ni jini tu la kiarabu.