Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Mungu yupo.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo, kama ana huo uwezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Mungu yupo.
Mungu haleti Mvua.. Mungu aliiumba mvua..Kama Mungu analeta mvuaasi jangwani pangekuwa inanyesh mvua
Kwa wewe ni Mungu mlikubaliana kwamba akiwepo na mambo gani hayapaswi kutokuwepo, ambayo baadaye umegundua kwamba sivyo mlivyokubaliana? Na je wewe na Mungu judgement yenu ya vitu/mtazamo wenu kuhusu matukio yanayotokea duniani unafanana? Anayoyaona Mungu kwamba ni mema na wewe unayaona vivyo hivyo na mabaya pia? Ngoja kwanza niweke pozi ili unijibu hayo niliyouliza kwanza.Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo yanayompendeza yeye Mungu lakini unakuta wanateseka tuu.
Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika kipindi nitakua atheist ⚛️
Hata ingekuwa ni wewe unaweza kukubaliana kitu na kitu kisichokuwepo? Hapo siunakuwa unajikubaliana mwenyewe yaani sawa na kucheza mchezo wa drafiti peke yakoKwa wewe na Mungu mlikubaliana kwamba akiwepo na mambo gani hayapaswi kutokuwepo? Na je wewe na Mungu judgement yenu ya vitu/mtazamo wenu kuhusu matukio yanayotokea duniani unafanana? Anayoyaona Mungu kwamba ni mema na wewe unayaona vivyo hivyo na mabaya pia? Ngoja kwanza niweke pozi ili unijibu hayo niliyouliza kwanza.
Sasa kama hicho kitu hakipo unahangaika nacho cha nini au ndiyo hiyo ya kujitekenya na kucheka mwenyewe?Hata ingekuwa ni wewe unaweza kukubaliana kitu sisichokuwepo? Hapo siunakuwa unajikubaliana mwenyewe yaani sawa na kucheza mchezo wa drafiti peke yako
Mungu ni dhana tu, na hasa mungu wawakristo na waislamu, bora hata hawa wanaoabudu sanamu wakiwawanaziona na kuzishika, ila hawa wanaoabudu mawazo yao basi ni wabishi balaa tena bila uthibitsho.Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo, kama ana huo uwezo.
Tangu lini kafiri akaamini uwepo wa Mungu?
Kwenye kukuita hapa pia nimekusemea kinamna fulaniKiranga hasemi sana siku hizi, anasemewa tu.
Penye ukweli, uongo hujitenga.
Hata kwa polepole na kuchelewa ukweli utajionesha tu.
Mungu mwenyewe ameshindwa kuyamaliza mateso yake unategemea aje amalize yakwako😀😀 bado anateseka saivi na ujenzi wa makao ya watakatifu wake, bado ahanhaike kuwaumba mabikira wa maswahaba wake bado aje apigane na mpinga kristo bado aje apgane na lijitu lenye jicho moja, bado aandae bomu la kuangamiza dunia, bado atafute nauli ya kuja duniani kuwachukua watu wake--- hivi hata ingekuwa niwewe ungeweza kmkuu?
Huu uzi niliuona nikasema niseme nini ambacho sijasema?Kwenye kukuita hapa pia nimekusemea kinamna fulani
sasa ndio mambo ya Mungu hayo... aliyokataza ndio zawadi mbinguniKumbe pombe na bange nilaha. Sasa kwanini avikataze?