comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo yanayompendeza yeye Mungu lakini unakuta wanateseka tuu.
Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika kipindi nitakua atheist ⚛️
Bangi hatoi bana iyo ya bangi umeitoa wapi? Pombe na mabikira sawaMungu anaweza kuwepo ila sio kama alivoandikwa kwenye Mambo ya dini.
Imagine Mungu anakataza kuzini na kunywa pombe ila mbinguni anakupa mademu 72, mito ya pombe, bangi na anasa zote.
Huyo ni Mungu au kichaa
Kila raha unayoijua wewe kwa Mungu unapewa muulize FaizaFoxyBangi hatoi bana iyo ya bangi umeitoa wapi? Pombe na mabikira sawa
Aisee hii sio hakiItakuwa huyo MUNGU awapendi hao wenye matatzo anawapenda kina mo🤪🤪🤪🤪
Aisee hii nayo kaliMungu anaweza kuwepo ila sio kama alivoandikwa kwenye Mambo ya dini.
Imagine Mungu anakataza kuzini na kunywa pombe ila mbinguni anakupa mademu 72, mito ya pombe, bangi na anasa zote.
Huyo ni Mungu au kichaa
Kwamba Mungu atawapa Hadi pombe?Bangi hatoi bana iyo ya bangi umeitoa wapi? Pombe na mabikira sawa
Mito itakuwa inatiririsha Pombe Tamu.Kwamba Mungu atawapa Hadi pombe?
Sasa imagine Mungu atatoa Pombe mbinguni lakini ameshindwa kutuondolea MagonjwaKwamba Mungu atawapa Hadi pombe?
Kabla ya kuwa na haya mashaka umejiuliza kwanini wao sio wewe?Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo yanayompendeza yeye Mungu lakini unakuta wanateseka tuu.
Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika kipindi nitakua atheist ⚛️
Kama Mungu analeta mvuaasi jangwani pangekuwa inanyesh mvuaKinachokutesa ni Maandiko ..
Mungu yupo na ana upendo kupitia Kazi zake tunazozina like Mvua, Jua, Nyota, Mwezi, Hewa, Maji, Viumbe tofauti, Usiku na Mchana, Kuelea kwa dunia nk..
Anza kutafakari nguvu ya Mungu bila kuhusisha Maandiko ya Dini ..
Huko yameelezwa mengi ambayo si kweli like Mungu anasamehe wakati huohuo imeandikwa tena anampango wa kuchoma watu Moto Lastday.. Usamehevu gani huo?
Eti ana Upendo na akatuumbia shetani makusudi huku Anauwezo wa kupredict Future...upendo gani huo?
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo yanayompendeza yeye Mungu lakini unakuta wanateseka tuu.
Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika kipindi nitakua atheist ⚛️