Hahahahaaaa, mbona unakimbilia kusema uko Chato ili kuaminisha uma kwamba huenda kuwepo kwako huko kijijni ndio maana hujui kazi ya Java.Nini kazi ya java script katika computer. Nipo Chato
A bit more..jazia nyama basiKwa serious AI driven projects mfano ML , NLP, DL etc. bado huwezi kuikwepa Python.
Kama unataka kufanya project ambazo zinahitaji utumie Machine Learning, Natural Language Processing, Deep Learning etc. Python inakuwa bora zaidi kwa sababu ya upatikanaji wa libraries ambazo zinaweza kufanya data analysis and zinakuwa na implementation ya algorithms nyingi utakazohitaji.A bit more..jazia nyama basi
Umesomeka vyema kabisa.Kama unataka kufanya project ambazo zinahitaji utumie Machine Learning, Natural Language Processing, Deep Learning etc. Python inakuwa bora zaidi kwa sababu ya upatikanaji wa libraries ambazo zinaweza kufanya data analysis and zinakuwa na implementation ya algorithms nyingi utakazohitaji
Huu ndo uwe mwanzo wa kuwaza hilo.Binafsi am not a big fan wa java script language ..But na confense its importanace in web-based software projects.
Huwa nafanya kuchomekea tu/embed vi script vya java.
Binafsi am a big mpenz wa ila JaVa kavu na kwenye web ni Php.
Sijawah waza kama nitaweza sikumoja kufanya project nzima mwnzo mwishokwa kutumia js script tu..
Hapa ndipo hua nakuja kujiona fala maana hata kilichoandikwa sikielewi.Kama unataka kufanya project ambazo zinahitaji utumie Machine Learning, Natural Language Processing, Deep Learning etc. Python inakuwa bora zaidi kwa sababu ya upatikanaji wa libraries ambazo zinaweza kufanya data analysis and zinakuwa na implementation ya algorithms nyingi utakazohitaji.
Datascience community kubwa kama wakigundua algorithm bora/mpya wataanza kufanya implementation kwenye Python. Kuna libraries kwenye language nyingine kama Javascript, PHP, Java etc.
Lakini mara nyingi utakuta zina limited implementations au kuna vitu utashindwa kabisa kufanya kwa kukosa libraries, unaweza kuamua kuandika implementation yako mwenyewe lakini utachukua muda sana na probably haitakuwa efficent, kitu ambacho kinaongeza muda wa kumaliza project yako.
Umesomeka vyema kabisa.
Swali la kizushi kidogo mkuu...
Tumekua watumiaji /utilizers wazur sana wa hiz programming platforms/languages and their respective IDEs ili ku develop softwares... but i wondér how can someone develop these languages...yan uka develop your language, compilers, libraries INDEPENDENTLY of whatever existing now???
Na hii ndio maana binafsi i preffer zaid kuwa conaidered as a software programmer than Developer...
Unaweza kutengeneza library specific kwa ajili ya language au framework unayotumia kama ipo very specialized na upo likely kuitumia mara nyingi...lakini kutengeneza language yako inaweza isiwe a very good idea ukiifanya individually unless una muda na unataka kufanya kwanza kwa ajili ya kujifunza, mostly individually wanaofanya hivyo ni watu wanaokuwa kwenye tafiti ama wenye uwezo mkubwa kufikia kuona mapungufu ya lugha zilizopo na kuja na kitu kipya. Kwa soko letu la Tanzania haina benefit kujua namna ya kutengeneza lugha yako etc. unaweza kuanzia kusoma hivi vitabu kupata mwanga👇Umesomeka vyema kabisa.
Swali la kizushi kidogo mkuu...
Tumekua watumiaji /utilizers wazur sana wa hiz programming platforms/languages and their respective IDEs ili ku develop softwares... but i wondér how can someone develop these languages...yan uka develop your language, compilers, libraries INDEPENDENTLY of whatever existing now???
Na hii ndio maana binafsi i preffer zaid kuwa conaidered as a software programmer than Developer...
Thank you very much.Very wise indeedUnaweza kutengeneza library specific kwa ajili ya language au framework unayotumia kama ipo very specialized na upo likely kuitumia mara nyingi...lakini kutengeneza language yako inaweza isiwe a very good idea ukiifanya individually unless una muda na unataka kufanya kwanza kwa ajili ya kujifunza, mostly individually wanaofanya hivyo ni watu wanaokuwa kwenye tafiti ama wenye uwezo mkubwa kufikia kuona mapungufu ya lugha zilizopo na kuja na kitu kipya. Kwa soko letu la Tanzania haina benefit kujua namna ya kutengeneza lugha yako etc. unaweza kuanzia kusoma hivi vitabu kupata mwanga👇