Siku zote mapenzi ya HONEY,DEAR,SWEETIE,BABY,DARLING hayadumu!!!!!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Jambo wote wana wa familia ya JF??????.
Bila kupoteza muda nimeona ni vyema nikaweka matokeo yangu ya uchunguzi nilioufanya kwa kipindi kirefu na kubaini mambo kadha wa kadha juu ya jambo hili.Natumai mlio wengi mtakubaliana na mimi na wachache mtakataa juu ya kichwa cha habari hii kinavyojieleza. Hayo majina niliyoyataja hapo juu siku hizi yanatumika vibaya na yamekuwa kivuli/ cha kuficha maovu yanayotendwa na wote wa jinsia mbili walioko kwenye mahusiano ya mapenzi si mwanaume au mwanamke.Na kwa kutumia majina hayo yakisindikizwa na sauti bembelevu unawe ukamfunania mke/mume lakini utakapotumia mjina hayo yatakusafisha na kuonekana huna doa lolote.Na mapenzi hayo ya hayo majina yaliyoko hapo juu yamejaa usaliti wa hali ya juu.Pia majina hayo humsababisha anayeitwa majina hayo kujiona yeye ndio yeye wala hakuna mwingine na inapotokea dili hilo kugeuka kuwa dirisha mapenzi hayo huyeyuka na kumwacha mmoja aliyebweteshwa na hayo majina akiwa na maumivu makubwa moyuoni.
 
Majina yawepo yasiwepo kama usaliti upo upo tu!
 
Ah tumeshazowea kuitwa hivyo na tunalizwa na hao hao wanaotuita hayo majina mwishoni tunakua manunda sie pia tunawaumiza...
 
This is a fallacy of generalization....hata akuite my stone or my pumpkin akiamua kukusaliti ataweza tu regardless of the nomenclature given.....usaliti ni tabia ya m2 bhana!!
 
sasa unashauri nini? Ukifanya utafiti wa tatizo unatakiwa utafute na dawa ya hilo tatizo. So umegundua dawa gani itumike??
 
Usitutishe, kama wewe yamekufika ni yako na hai-hu~~~~~~~!!!!
 

Sio Kweli!!! Labda kwako tu Mkuu hii theory in apply lakini si kwa jamii yote. Pole kwa yaliyokukuta
 
Mimi natumia moja ya majina hapo juu na mpenzi wangu lakini tupo poa

Sema Ogopa sana hayo mapenzi yenu vijana ya kukaa samaki samaki kila wkend.
 
Haaaaahaaaaaaa teeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhh teeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
hata umwite lion akiwa na roho hiyo noshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hata mimi huwa sipendi mtu aniite kwa sana,bora unitaje jina langu tu.
 
Tafiti yako kwa asilimia fulani ina nusu uongo nusu ukweli.
Wapo ambao wanatumia majina hayo na mapenzi yao yapo moto moto kwa sababu wanapendana na wanaheshimiana na wanatumia maneno hayo kwa kumananisha.

Ila kwa matapeli wa mapenzi maneno hayo hutumika kama kinga ya nira mbaya ya uovu.
 
Mimi namwita Sokwe yeye ananiita Nyani Jike, I hope tutadumu mwaego!
 
Usaliti hautokani na majina wala kubembelezana, unatokana na watu bila kujali wanawaita na kuwatreat vipi wenzi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…