Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kutoka moyoni,mke wangu nampenda saana lakini hayo maneno hapo juu nimeshindwa kuyatumia kabisa,moyo wangu unakuwa mzito sana kuyatumia hayo maneno,upendo wangu kwa mke wangu ni kwa vitendo na kauli nzuri kwake fullstop!Hata mimi huwa sipendi mtu aniite kwa sana,bora unitaje jina langu tu.