Siku zote mapenzi ya HONEY,DEAR,SWEETIE,BABY,DARLING hayadumu!!!!!

Siku zote mapenzi ya HONEY,DEAR,SWEETIE,BABY,DARLING hayadumu!!!!!

Siamini kama kuna any connectiön kati ya majina na usaliti
 
Ah tumeshazowea kuitwa hivyo na tunalizwa na hao hao wanaotuita hayo majina mwishoni tunakua manunda sie pia tunawaumiza...

Arabian! Msalie mtume! Usivutie kamba upandeoo! Sema TUNAUMIZANA! umeniskia ivooo!
 
pole mwaego... mi ntaendelea na yanadumu bana
 
​wacha niendelee kumwita my sweetpotatoen haunitishi lolote
 
Kwanza hawa vijana wa kizazi hiki cha bongo fleva ndo wanayatumia majina hayo kwa sana bila kuwa na hisia zozote, nahisi ndo reference yako. Wakongwe wanayatumia na mambo yao yako poa. Likitamkwa mke/mme anajiandaa kupokea taarifa nzuri.
 
Hawa vijana wa kizazi cha bongo fleva ndo wanayatumia sana bila ya kuwa na hisia zozote, nafikiri ndo reference yako, Kwa wakongwe wanayatumia na mambo yao yako poa, likitamkwa linakuwa na uzito unaostahili.
 
Huyu ngosha msukuma wa Ntuzu, amekuja na vipesa vyake kakutana na mabinti wa kazi "Honey" Dear kwa sana kama unavyojua kabila letu lile kwa kupenda sifa akajua haya mapenzi ya kizungu nikirudi Bariadi watanikoma, fuba la pesa akawaachi, mabinti kama kawa hawakulaza damu, sasa anakuja na topic za ukiitwa dear mapenzi hayadumu.

WE! NG'WANAMASANJA
 
Kwa taarifa siku ukiona mpenzi wako anakupigia simu na kukuita kimahaba chunguza yawezekana amefanya jambo linalokukera so anapima upepo kujua kama news zimekufikia.
 
Ni kweli maana ni mapenzi fake, plastic kama bongo fleva kuiga umagharibi wasiouweza wala kuujua.
hujamalizia kuwa chakula chao ni chips kuku
 
we kama amekusaliti njoo nikugawie ninao wengi wananiita hayo majina hadi yamenikifu.
 
Back
Top Bottom