Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
MORRISON KUKATWA MSHAHARA:
Yanga yatoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Bernard Morrison, yasisitiza kuwa ni mchezaji wao halali hadi Julai 2022, yasema itamkata shilingi milioni 1.5 kwenye mshahara wake kwa kosa la kufanya mahojiano na chombo cha habari kinyume na utaratibu.
Chanzo: Azam TV
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea hii ni mara ya Tatu sasa Bernard Morrison anawasumbua Yanga kwakuwa anatua zake Simba Sports Club.