Siku zote Mwanamke asiyekutaka na aliyekuchoka atakuwa anakusumbua tu hadi Ukasirike kwakuwa anakuwa ameshamuona Mwanaume aliye sahihi Kwake Kiupendo

Siku zote Mwanamke asiyekutaka na aliyekuchoka atakuwa anakusumbua tu hadi Ukasirike kwakuwa anakuwa ameshamuona Mwanaume aliye sahihi Kwake Kiupendo

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
MORRISON KUKATWA MSHAHARA:

Yanga yatoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Bernard Morrison, yasisitiza kuwa ni mchezaji wao halali hadi Julai 2022, yasema itamkata shilingi milioni 1.5 kwenye mshahara wake kwa kosa la kufanya mahojiano na chombo cha habari kinyume na utaratibu.

Chanzo: Azam TV

Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea hii ni mara ya Tatu sasa Bernard Morrison anawasumbua Yanga kwakuwa anatua zake Simba Sports Club.
 
Yanga ni kubwa kuliko mchezaji yeyote yule.

.......Kama keshapata bwana mpya wacha aende hakuna haja ya kubembeleza mtu.
 
Hivi Kiswahili sahihi ni Shule zinafungua / Shule zinafunguliwa? Yaani Yanga SC Bernard Morrison anawateseni hadi Mnachanganyikiwa kiasi hiki?

Kwa akili zako za kawaida unaona morrison ana umuhimu sana pale Yanga?
 
Kwa akili zako za kawaida unaona morrison ana umuhimu sana pale Yanga?

Leo ndiyo yamekuwa haya? Halafu nikiwa nasema hapa kila Siku kuwa Mashabiki wa Yanga SC mna Matatizo Vichwani mwenu huwa mnanibishia.
 
Leo ndiyo yamekuwa haya? Halafu nikiwa nasema hapa kila Siku kuwa Mashabiki wa Yanga SC mna Matatizo Vichwani mwenu huwa mnanibishia.

Kweli mikia mna shida, morrison ndio mchezaji wa kupoteza muda kumjadili, bahati mbaya media zetu zimekaa kidaku ndio zinazowajaza ujinga.
 
Kweli mikia mna shida, morrison ndio mchezaji wa kupoteza muda kumjadili, bahati mbaya media zetu zimekaa kidaku ndio zinazowajaza ujinga.
Nyie wenyewe si ndiyo mnampaisha kwa sifa za kijinga,si ndiyo nyie mnashangilia kama mbwa anakojoa vile, dadeq kakutieni dole sasa na anasepa,na wala Simba hawana haja naye.
 
Kwa akili zako za kawaida unaona morrison ana umuhimu sana pale Yanga?

Kama ana umuhimu si wamuachie asepe zake? Wanamng'ang'ania wa nini..!?
Mara kumkata mshahara....n.k
Upuuzi tu!
 
Back
Top Bottom