Siku zote tunaambiwa kwa wazungu wanamiliki uchumi wa Kenya, kwa wenzetu Waarabu na Wahindi ndio wenye kila kitu

Nenda google km una umuhimu nao sana...manake mi nmeshaenda kw ya tz nikaona wahindi na waarabu kibao[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuambia wataje hao wakenya na utajiri wao
We unaleta porojo
 
kila siku tunaambiwa wazungu ndio wanaongoza kwa utajiri Kenya, ila ukweli ni kuwa ndani ya matajiri kumi bora wa Kenya, utapata kunao zaidi ya tano wajukuu weusi wa nchi hii, lakini kwa wenzetu ndani ya ishirini bora ya wanaomiliki uchumi wa Tz, ni watu wenye asili ya Kihindi na Kiarabu, Mtangayika ni mmoja tu basi.
--------------------------
1)Mohammed Dewji,
2)Said Salim Bakhresa,
3)Rostam Aziz,
4)Reginald Mengi.
6)Ally Awadh (Lake Oil Group),
7)Shekhar Kanabar (Synarge Group),
8)Shubash Patel (Motisun Group),
9)Ghalib Said Mohamed (GSM Group),
10)FidaHussein Rashid (Africarriers Group),
11)Salim Turky (Turky's Group of Companies),
12)Yogesh Manek (MAC Group),
13)Abdulaziz Abood (Abood Group) na
14)Haroon Zakaria (Murzah Oils).

LESS than 20 individuals in Tanzania are worth $50 million (over 110 billion shillings) and above in net assets each, according to the latest global wealth report released this week by analyst firm Knight Frank.

Mbona umewasahau...

Swaleh Nguru
Bhimji Shah
Naushad Merali
Badja Ali Mussa
Atul Shah
Manu Chandaria

Na nani anaimiliki Kenya?

Mbona umewasahau...

Swaleh Nguru
Bhimji Shah
Naushad Merali
Badja Ali Mussa
Atul Shah
Manu Chandaria

Na nani anaimiliki Kenya?

Kwa Kenya ndani ya matajiri kumi bora, kuna wazawa weusi sita, wajukuu wa mababu zetu wenye asili ya Kibantu na Nilotes, lakini kwa Tanzania, wote Waarabu na Wahindi wachache ambao najua inakuuma ukiskia wakitajwa maana hao waarabu wazee wa mindevu maana ndio unawaabudu kwa kwenda mbele.
Watanganyika asili alikuwepo mmoja tu Mchagga bwana Mengi, ila ni marehemu RIP kwa sasa. Nyie wengine wote full kajamba mumerundikana Tandale.
 
Hao "Wahindi" na "Waarabu" unaowaona kwenye list wote ni wazawa wa Tanzania.

Kwa Kenya labda mmoja au wawili ndiyo wazawa.
 
Suala la uzawa sio hoja, maana tunahamasisha wageni waje kwa wingi na kuwekeza kwenye mambo makubwa, ila wajukuu wa asili ya Kibantu na Nilotes wasizembee kama wenzao wa huko Tanganyika, ambao kwao wajukuu wa waarabu waliowauza mababu zenu ndio wanamiliki uchumi wa nchi, hio yote kwa ajili ya ujamaa uliowafanya Watanganyika wawe wavivu wa kutupwa na watu wa kukwamishana.
 
Sasa umeanza "wazawa" hapa si umekubali wote wa Tzed hakuna mzawa mweusi kwenye orodha ya matajiri? Halafu umeanza kukoroga ati "house nigga vs outside nigga" ati hao mabepari weupe ni wenu sababu umepoteza hoja.

Tuletee kina Githunguri ,Kirubi ,Arap Samoei ,Mwangi na Macharia halisi wa Tzed sio "wazawa" weupe mlio -import miongo michache iliyopita.Stop beating about the bush and muddying the waters.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata wale wakenya nyinyi husema ni wazungu, ni wakenya.
Kuna yule mhindi ana kampuni ya kutengeneza nondo.. alikuja Kenya akiwa kijana mkubwa kama preacher kwenye temple hapo Nai, sasa nitajiri anaji ita mkenya huku akichuma tu. Tatizo Kenya mnaruhusu dual citizenship, hao wa wakina Bakhressa mitaji yao yote hipo Tz na hawana link na taifa jingine.
 
kila siku tunaambiwa wazungu ndio wanaongoza kwa utajiri Kenya, ila ukweli ni kuwa ndani ya matajiri kumi bora wa Kenya, utapata kunao zaidi ya tano wajukuu weusi wa nchi hii, lakini kwa wenzetu ndani ya ishirini bora ya wanaomiliki uchumi wa Tz, ni watu wenye asili ya Kihindi na Kiarabu, Mtangayika ni mmoja tu basi.
--------------------------
1)Mohammed Dewji,
2)Said Salim Bakhresa,
3)Rostam Aziz,
4)Reginald Mengi.
6)Ally Awadh (Lake Oil Group),
7)Shekhar Kanabar (Synarge Group),
8)Shubash Patel (Motisun Group),
9)Ghalib Said Mohamed (GSM Group),
10)FidaHussein Rashid (Africarriers Group),
11)Salim Turky (Turky's Group of Companies),
12)Yogesh Manek (MAC Group),
13)Abdulaziz Abood (Abood Group) na
14)Haroon Zakaria (Murzah Oils).

LESS than 20 individuals in Tanzania are worth $50 million (over 110 billion shillings) and above in net assets each, according to the latest global wealth report released this week by analyst firm Knight Frank.

Tanganyika ni nchi ya tamu sana,yaani wakati nasoma hayo majina ya akina Bakhressa,Rostam,GSM,Abood yaani nawaona waswahili wenzangu kabisa na ukiangalia ni ndugu zetu katika imani na tunashirikiana kwa kila kitu mpaka ngazi ya mashinani,hao ni wenzetu rangi yao sio hoja.Kwanza wengine wapo hapo kizazi cha 4 sasa.Motisum ya Subhash,Subhash nae ni Mtanganyika,mamake mzazi alikua bint wa Kikwere hapo Bagamoyo.
 
Sasa umeanza "wazawa" hapa si umekubali wote wa Tzed hakuna mzawa mweusi kwenye orodha ya matajiri? Halafu umeanza kukoroga ati "house nigga vs outside nigga" ati hao mabepari weupe ni wenu sababu umepoteza hoja.

Tuletee kina Githunguri ,Kirubi ,Arap Samoei ,Mwangi na Macharia halisi wa Tzed sio "wazawa" weupe mlio -import miongo michache iliyopita.Stop beating about the bush and muddying the waters.
Hahahaha. Kumbe mpo bwana na mke humu! Ndiyo kwanza nimeelewa.

We Bwana254 katazame alieanza kuleta hilo la "wazawa" kama si mke o MK254
 
Hehehe wewe mpanulia miguu kwa mashababi hunichekesha sana ukilemewa kwenye hoja, sasa huko wapi unakwenda.
Njoo ukutane na dushe za kibantu na nilotes achana na vibamia vya hao mashababi hamna kikubwa kwao zaidi ya uchafu kwenye ndevu zao.
 
Suala la uzawa sio hoja, maana tunahamasisha wageni waje kwa wingi na kuwekeza kwenye mambo makubwa, ila wajukuu wa asili ya Kibantu na Nilotes wasizembee kama wenzao wa huko Tanganyika, ambao kwao wajukuu wa waarabu waliowauza mababu zenu ndio wanamiliki uchumi wa nchi, hio yote kwa ajili ya ujamaa uliowafanya Watanganyika wawe wavivu wa kutupwa na watu wa kukwamishana.
Duh! Sasa umeingiza utumwa. Unasahau kuwa Kenya mpaka leo kuna ngome ya Wareno inaitwa Fort Jesus? Lilikuwa soko kuu la watumwa mpaka walipokuja tena Wabaluch kuliteka? Au haujafika Mombasa?

Umesahau mabwana zenu wa Kizungu mpaka leo wanamiliki ardhi hapo Kenya?

Waarabu utawaonea bure wao walikuwa ma middleman tu. Wauzaji Watumwa walikuwa mababu zako kwa wazungu.

Unless uwe umesomea ujinga hotolielewa hilo.
 
Hehehe wewe mpanulia miguu kwa mashababi hunichekesha sana ukilemewa kwenye hoja, sasa huko wapi unakwenda.
Njoo ukutane na dushe za kibantu na nilotes achana na vibamia vya hao mashababi hamna kikubwa kwao zaidi ya uchafu kwenye ndevu zao.
Nyie si "mnakulanga" miraa nasikia imewafanya muwe "mashonga". Haumo humu...

https://m.facebook.com › posts
JamiiForums - KENYA: WANAUME WAVALIA KAMA WANAWAKE ...
 
Duh! Sasa umeingiza utumwa. Unasahau kuwa Kenya mpaka leo kuna ngome ya Wareno inaitwa Fort Jesus? Lilikuwa soko kuu la watumwa mpaka walipokuja tena Wabaluch kuliteka? Au haujafika Mombasa?

Umesahau mabwana zenu wa Kizungu mpaka leo wanamiliki ardhi hapo Kenya?

Waarabu utawaonea bure wao walikuwa ma middleman tu. Wauzaji Watumwa walikuwa mababu zako kwa wazungu.

Unless uwe umesomea ujinga hotolielewa hilo.

Hehehe!! Kutumia kete ya wazungu ndio unaona itafuta ukweli wa jinsi wajukuu wa waarabu pamoja na kubaka mababu zenu bado ndio wanatawala na kushikilia uchumi wote. Ni kweli wazungu ndio walikua vinara wa soko la watumwa kwa ushirikiano wa hao wakuu wenu waarabu, japo waarabu walikua wakatili sana maana baada ya wazungu kuamua kufunga hiyo biashara, hao mabwana zenu waliendeleza na hadi kuwatosa watumwa baharini pale walipofuatwa na wazungu.

Japo la msingi ni kuwa, hatimaye dunia ilikubali yaishe yote na Wabantu wakaanza kuchakarika kwenye mataifa yao, ila nyie wazembe ujamaa ukawalemaza na kuishi maisha ya kukwamishana, angalia hata pale Zanzibar mlikwenda na kuwavurga waarabu, ila kipi kipya mlifanya zaidi ya kuendeleza umaskini.

Ni kweli kuna wajukuu wa wazungu wanaomiliki ardhi Kenya, lakini kimsingi ni kuwa sote tunashindana kwenye uchumi, tumebanana nao, hatuwakwamishi ila tunapambana na kujenga uchumi wetu tofali kwa tofali, kwanza hamna mzungu hata mmoja kwenye matajiri kumi bora Kenya, wapo weusi na wachapa kazi wa Kihindi.
Siku mtaondoka kwenye dhana za ujima na kukubali kuchapa kazi bila kuoneana kijicho ndio mtaanza kuonekana kwenye ishirini bora ya wamiliki wa uchumi wa nchi.
 
kila siku tunaambiwa wazungu ndio wanaongoza kwa utajiri Kenya, ila ukweli ni kuwa ndani ya matajiri kumi bora wa Kenya, utapata kunao zaidi ya tano wajukuu weusi wa nchi hii, lakini kwa wenzetu ndani ya ishirini bora ya wanaomiliki uchumi wa Tz, ni watu wenye asili ya Kihindi na Kiarabu, Mtangayika ni mmoja tu basi.
--------------------------
1)Mohammed Dewji,
2)Said Salim Bakhresa,
3)Rostam Aziz,
4)Reginald Mengi.
6)Ally Awadh (Lake Oil Group),
7)Shekhar Kanabar (Synarge Group),
8)Shubash Patel (Motisun Group),
9)Ghalib Said Mohamed (GSM Group),
10)FidaHussein Rashid (Africarriers Group),
11)Salim Turky (Turky's Group of Companies),
12)Yogesh Manek (MAC Group),
13)Abdulaziz Abood (Abood Group) na
14)Haroon Zakaria (Murzah Oils).

LESS than 20 individuals in Tanzania are worth $50 million (over 110 billion shillings) and above in net assets each, according to the latest global wealth report released this week by analyst firm Knight Frank.

Ubaguzi wenu tu ndio maana mnaona hao si watanzania,lakini hao wote wamezaliwa na kusoma Tanzania,so ni watanzania
 
Watu wapo wamezaliwa Tanzania wapo miaka na miaka alafu unalinganisha na hao wakwenu waliokuja ukubwani [emoji23][emoji23][emoji23] ukumbafu ni kitu mbaya sana aloo,
Mbaya zaidi Huko kwao wanaendeleza ukoloni bado ndio maana kuna mitaa eti masikini haruhusiwi kuishi,
Alafu mashamba yenye rutuba makubwa kubwa wameshikilia wao.
 
Nyie si "mnakulanga" miraa nasikia imewafanya muwe "mashonga". Haumo humu...

https://m.facebook.com › posts
JamiiForums - KENYA: WANAUME WAVALIA KAMA WANAWAKE ...

Hujajiuliza kwanini wale wenye vibamia mabwana zako wanapenda miraa, husababisha 'handas' na kumfanya mwanaume anakua kidume anakwenda mabao kadhaa. https://www.webmd.com/infertility-a...40629/khat-plant-may-enhance-male-fertility#1
Nimekuomba uwaache hao uje kwa dushe za kibantu, nyeusi na zilizoshiba, siku ukitiwa na mmoja utaacha mahaba yako kwa mashababi.
 
Ubaguzi wenu tu ndio maana mnaona hao si watanzania,lakini hao wote wamezaliwa na kusoma Tanzania,so ni watanzania

Hamna sehemu nimesema muwabague, kwanza ni watu muhimu sana hao, mnafaa kuwapa ushirikiano wa hali ya juu, ila ninachokisema ni nyie Watanganyika weusi mchape kazi kwa bidii muanze kusikika kwenye ndani ya wanaomiliki uchumi wa nchi, muache kurundikana Tandale kwa umaskini.
Hakuna Mtanganyika mweusi hata mmoja anayetajwa kwenye matajiri kumi bora wanaomiliki uchumi wa nchi.
 
Hehehe!! Kutumia kete ya wazungu ndio unaona itafuta ukweli wa jinsi wajukuu wa waarabu pamoja na kubaka mababu zenu bado ndio wanatawala na kushikilia uchumi wote. Ni kweli wazungu ndio walikua vinara wa soko la watumwa kwa ushirikiano wa hao wakuu wenu waarabu, japo waarabu walikua wakatili sana maana baada ya wazungu kuamua kufunga hiyo biashara, hao mabwana zenu waliendeleza na hadi kuwatosa watumwa baharini pale walipofuatwa na wazungu.

Japo la msingi ni kuwa, hatimaye dunia ilikubali yaishe yote na Wabantu wakaanza kuchakarika kwenye mataifa yao, ila nyie wazembe ujamaa ukawalemaza na kuishi maisha ya kukwamishana, angalia hata pale Zanzibar mlikwenda na kuwavurga waarabu, ila kipi kipya mlifanya zaidi ya kuendeleza umaskini.

Ni kweli kuna wajukuu wa wazungu wanaomiliki ardhi Kenya, lakini kimsingi ni kuwa sote tunashindana kwenye uchumi, tumebanana nao, hatuwakwamishi ila tunapambana na kujenga uchumi wetu tofali kwa tofali, kwanza hamna mzungu hata mmoja kwenye matajiri kumi bora Kenya, wapo weusi na wachapa kazi wa Kihindi.
Siku mtaondoka kwenye dhana za ujima na kukubali kuchapa kazi bila kuoneana kijicho ndio mtaanza kuonekana kwenye ishirini bora ya wamiliki wa uchumi wa nchi.
Ishirini ni kidogo sana hata ukiwrka lidt us 100 utakuta ni haohao.

Hao ni Watanzania kama Mtanzania yeyote trna inaweza kuwa wao ndiyo walikuwa watumwa wa machifu zetu isome historia.

Unajuwa wewe kuwa Mabaluch na Waarabu ndiyo waliwaokoa kwa Wareno ?
 
Back
Top Bottom