Siku zote tunaambiwa kwa wazungu wanamiliki uchumi wa Kenya, kwa wenzetu Waarabu na Wahindi ndio wenye kila kitu

Siku zote tunaambiwa kwa wazungu wanamiliki uchumi wa Kenya, kwa wenzetu Waarabu na Wahindi ndio wenye kila kitu

Hao uliowataja karibia wote wana damu ya kiafrika. Usibabaike na majina na rangi. Waarabu wa Tanzania wamechanganya sana damu na waafrika miaka na miaka.
 
Naomba kujua hao ni waarabu na wahindi au watanzania wenye asili ya uarabu na kihindi?
 
Tanganyika ni nchi ya tamu sana,yaani wakati nasoma hayo majina ya akina Bakhressa,Rostam,GSM,Abood yaani nawaona waswahili wenzangu kabisa na ukiangalia ni ndugu zetu katika imani na tunashirikiana kwa kila kitu mpaka ngazi ya mashinani,hao ni wenzetu rangi yao sio hoja.Kwanza wengine wapo hapo kizazi cha 4 sasa.Motisum ya Subhash,Subhash nae ni Mtanganyika,mamake mzazi alikua bint wa Kikwere hapo Bagamoyo.
Pumbavu eti ndugu zetu katika imani. Ndo mana dada zenu wanaliwa boga kama watumwa uko omani kwa kwa kujipendekeza kwenu kwa waarabu eti ndugu zenu kiimani wakati wao wanawaona nyie ngedere tuu. Kama ndugu zenu mbona libya wanawaua wenye ngozi kama yako na ni imani moja, mbona darfur waliwachomea moto vibanda vyenu kisa rangi zenu nyoko eti ndugu zenu kiimani mnajilegeza huku kidole kinawaingiA hadi hapo watakapokuja kuwachoma moto.
 
Kuna yule mhindi ana kampuni ya kutengeneza nondo.. alikuja Kenya akiwa kijana mkubwa kama preacher kwenye temple hapo Nai, sasa nitajiri anaji ita mkenya huku akichuma tu. Tatizo Kenya mnaruhusu dual citizenship, hao wa wakina Bakhressa mitaji yao yote hipo Tz na hawana link na taifa jingine.

Wahindi matajiri Kenya ni second or third generation. Hawajui taifa lingine.
Wazazi wao walikuja Kenya miaka ya 1800s.
 
Nenda google km una umuhimu nao sana...manake mi nmeshaenda kw ya tz nikaona wahindi na waarabu kibao[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitegemea Google kwa kila kitu...kwani huna ubongo!!!
Ndo maana unaleta ujinga mwingi
 
Back
Top Bottom