Kubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio unafikii?Siku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa Tanganyika.
CAG alitoa taarifa kuwa kuna ubadhirifu kwenye wizara ya mambo ya NDANI mkamkejeli,akasema Bunge ni dhaifu mkamkejeli.
Kangi akamwita muongo mkamshangilia BUNGENI,haya yako wapi Leo.
Mkamuundia zengwe mkamtimua ofisini,.*ilituuma sana*
Haya* Nani muongo*?
Genge la Majambazi lililokubalika Kisheria.Ukoo wa panya ccm
Mikataba mibovu ccm,matumizi mabovu ya resources ccm ,uhujumu uchumi ccm,mikataba feki CCM,miradi ya hovyo ccm,sera mbovu ccm
More than cancer
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee chalii yangu acha mambo ya kisoro jamvini. Jikite kwenye mada wewe mkaldayo acha porojo.Kubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio ufisadi?
Jibu hoja weweKubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio ufisadi?
Magufuli CcmUkoo wa panya ccm
Mikataba mibovu ccm,matumizi mabovu ya resources ccm ,uhujumu uchumi ccm,mikataba feki CCM,miradi ya hovyo ccm,sera mbovu ccm
More than cancer
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wabunge wa ccm wanaijua vyema sera ya siri ya chama chao kuwa ni wizi,kwa hiyo hawanyamanzi kwa kumuogopa mwenyekiti bali wananyamnza ili kulinda chama chao,maana kwa .mwanaccm wa ukweli ccm kwanza then nchi na maisha yake baadaeWabunge wa CCM kwa sababu ya wingi wao ndio chanzo cha matatizo yanayolikumba hili taifa, wananyamaza hata kwa mambo yaliyowazi kabisa, kisa wanamuogopa mwenyekiti wao asijewanyima nafasi za kugombea ubunge mwezi october, inshort wanasujudia sana matumbo yao kuliko maslahi ya taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
oooh sasa inakuwaje tunawaonea akina Rugemalira,kabendera and the like?CCM ndio inayoongoza nchi sasa ulitegemea kama kuna huo unaouita uhujumu uchumi ufanywe na chadema? Chadema wanahujumiwa na Mbowe & family!
Kubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio ufisadi?
CCM ndio inayoongoza nchi sasa ulitegemea kama kuna huo unaouita uhujumu uchumi ufanywe na chadema? Chadema wanahujumiwa na Mbowe & family!
Magufuli naye bana, bado anatuchezea sinema za black &. White karne huu ya na YouTube? Yeye ndio anasaini viongozi kwenda nje ya nchi, alishindwa kuwauliza wanafuata nini? Ni hatua gani za kisheria amechukua kwa mkataba wa kuhuni hivyo, maana tunaona viongozi wa cdm wanakesi zaidi ya miaka miwili kwa kuandamana tu. Tuone kweli kama atachukua hatua ana anasaka tu kiki za uchaguzi.
Kansas ya taifaSiku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa nchini.
CAG alitoa taarifa kuwa kuna ubadhirifu kwenye wizara ya mambo ya NDANI mkamkejeli,akasema Bunge ni dhaifu mkamkejeli.
Kangi akamwita muongo mkamshangilia BUNGENI,haya yako wapi Leo.
Mkamuundia zengwe mkamtimua ofisini,.*ilituuma sana*
Haya* Nani muongo*?
View attachment 1332292
View attachment 1332293
Hivi huyo aliyemtumbua kangi kwenye mambo yake huwa anapata kibali cha Bunge ?Siku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa nchini.