Siku zote tunasema CCM kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi namba 1 hapa nchini

Siku zote tunasema CCM kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi namba 1 hapa nchini

Siasa ni maslahi tu, kuna ambao wanajificha kwenye kichaka cha uzalendo. Mzalendo ni mwananchi pekee, sio hawa wanasiasa.
 
Kwa hiyo huko cdm kuna wasafi heti eeh?!
Bora shetani umjuaye kuliko malaika usiyemjua

Umekata pumzi mpaka umeishiwa utetezi wenye mashiko. Kila siku mnasifia kama mazuzu kuwa nidhamu imerejea serikalini, sasa kama mnaaminishwa nidhamu imerejea serikalini, kisha watu wawili watatu wanaenda nje ya nchi bila ruhusa za mamlaka husika na kusaini deal la 1t, huoni kwamba wamewaona nyie mnaolishwa ujinga wa kusifia ni nguruwe pori?
 
Hivi huyo aliyemtumbua kangi kwenye mambo yake huwa anapata kibali cha Bunge ?

Hilo bunge kibogoyo, hata mimi nisingepitia mahali ambapo watu hawajitambui. Hilo bunge liko hapo kula hela za wananchi kisheria na kumsifia jiwe, lakini hakuna lolote wajualo. Uimara wa hilo bunge huonekana tu pale wanapowafanyia wapinzani uhayawani.
 
Wabunge wa CCM kwa sababu ya wingi wao ndio chanzo cha matatizo yanayolikumba hili taifa, wananyamaza hata kwa mambo yaliyowazi kabisa, kisa wanamuogopa mwenyekiti wao asijewanyima nafasi za kugombea ubunge mwezi october, inshort wanasujudia sana matumbo yao kuliko maslahi ya taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unacho ongea uko sahihi kabisa maan kwa sasa wabunge wa chama tawala hawana masilahi kwa hili taifa na wamebaki na masilahi yao

Wengi wao kwa sasa wanaangalia matumbo yao tuu na familia zao hawezi kwenda kinyume maana muda wowote hatokuwepo madarakan

#turelax


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua concept za nchi na taifa basi hayo usingeyaona hayo.Ccm inayosimamia serikali isingelimwacha Mbowe ale ruzuku(mali ya Umma).kama ushahidi upo basi angeshafikishwa mahakamani.Au nani alikwambia serikali haichunguzi matumizi ya Vyama?
CCM ndio inayoongoza nchi sasa ulitegemea kama kuna huo unaouita uhujumu uchumi ufanywe na chadema? Chadema wanahujumiwa na Mbowe & family!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mwana ccm anawaza kuiba tu, yaani baada ya kuitia serikali hasara ya mamilioni, kafukuzwa yupo mtaani anakataka mauno wala hachukuliwi na vyombo vya sheria
 
Ukoo wa panya ccm

Mikataba mibovu ccm,matumizi mabovu ya resources ccm ,uhujumu uchumi ccm,mikataba feki CCM,miradi ya hovyo ccm,sera mbovu ccm

More than cancer

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu bado wanaona ndo wanaofaa kupewa dhamana ya kuongoza nchi!, Hivi kweli wanania ya kuwatumikia Watanzania au ni kwamba wakiachia madaraka watakula wapi?
 
Unajua concept za nchi na taifa basi hayo usingeyaona hayo.Ccm inayosimamia serikali isingelimwacha Mbowe ale ruzuku(mali ya Umma).kama ushahidi upo basi angeshafikishwa mahakamani.Au nani alikwambia serikali haichunguzi matumizi ya Vyama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri hela anazolipwa Mbowe ni za CCM? hivi nyie kwanini mali za wananchi mnaona ni za CCM? Hizo ni kodi za wananchi kwa mujibu wa katiba au unadhani ni Fadhila ya CCM kwa Mbowe?
 
CCM ndio inayoongoza nchi sasa ulitegemea kama kuna huo unaouita uhujumu uchumi ufanywe na chadema? Chadema wanahujumiwa na Mbowe & family!
Chama cha mafisadi CCM,hongereni kwa kukiri mmejaza mafisadi humo ndani!
 
Siku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa nchini.

CAG alitoa taarifa kuwa kuna ubadhirifu kwenye wizara ya mambo ya NDANI mkamkejeli,akasema Bunge ni dhaifu mkamkejeli.

Kangi akamwita muongo mkamshangilia BUNGENI,haya yako wapi Leo.

Mkamuundia zengwe mkamtimua ofisini,.*ilituuma sana*

Haya* Nani muongo*?

View attachment 1332292
View attachment 1332293
Madam,
Tatizo sio CCM,tatizo ni watu walioaminiwa na CCM kufanya kazi Serikalini.
Kwa hili la Kangi Lugora CCM ingelimfukuza wanachama na afunguliwe mashitaka ya uhujumu uchumi ili iwe fundisho la watu wanaojifanya wanaCCM kumbe ni wahujumu uchumi kupitia ilani ya CCM.
 
Hakya Mungu nawaapia kuwa tuko ktk janga la ufisadi kutakana na wabunge wa ccm, wabunge hawa ndio kikwazo ktk ustawi wa nchi yetu, wamekuwa hawataki kabisa kufikiria yaliyo mema na badala yao siku zote wanafikiria uharibifu wa nchi yetu! Shame to them!
 
Kwenye serikali za mitaa sasa hivi ni kilio kila kona. Hakuna kitu cha bure hata kupigiwa muhuri ni lazima ulipe 5000. Ukitaka kushughulikiwa jambo lazima ulipie wajumbe wa kikao posho ili vitu vipitishwe. Yaani tumerudi miaka ya 1970-1985 ambapo ilikuwa ngumu kupata haki ya msingi kabisa bila rushwa. Kuondoa siasa za ushindani kunaweza kumsaidia mkuu lakini kunawaumiza sana wananchi wa huku chini. Ubwana, utwana na umiungu utu umerudi mitaani kwa kasi sana. Inaonyesha dhaihiri mabadiliko waliotaka kufanya watanzai 2010 na 2015 walikuwa wamechoka. Tumerudishwa kule kule tuliko kukimbia
 
Kubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio ufisadi?
Wewe ulipata karai mitihani yako, unaulizwa hiki unajibu kile, sasa hata hilo ulilouliza lina maana yoyote?
Haya amerudi kwenu tena kapokelewa mwenyekiti wako unasemaje?
 
Back
Top Bottom