Hence wakina Kangi na boss wao wapo right kufanya mikataba bila consent ya bungeHilo bunge kibogoyo, hata mimi nisingepitia mahali ambapo watu hawajitambui. Hilo bunge liko hapo kula hela za wananchi kisheria na kumsifia jiwe, lakini hakuna lolote wajualo. Uimara wa hilo bunge huonekana tu pale wanapowafanyia wapinzani uhayawani.
Hilo zee lishamba kithengweYeye ndiye bunge
na mmelipokea tenaKubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio ufisadi?
Huwa nawashangaa sana kenge wa kijani,Kubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio ufisadi?
Hence wakina Kangi na boss wao wapo right kufanya mikataba bila consent ya bunge
Lowasa tayari karudi huku kwetu CCM kwenye fisadis wenziwe... kule upinzani aliona anabaniwa tu na wagumu kina Mbowe!Kubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio ufisadi?
CCM ndio inayoongoza nchi sasa ulitegemea kama kuna huo unaouita uhujumu uchumi ufanywe na chadema? Chadema wanahujumiwa na Mbowe & family!
Haikusaidii wewe na vizazi vyako, wote tunapata shida.Kubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio ufisadi?
Leo yuko wapi ?Kubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio ufisadi?
kuna Mjumbe Wa mtaani katapeli 2.3m za kikundiSiku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa nchini.
CAG alitoa taarifa kuwa kuna ubadhirifu kwenye wizara ya mambo ya NDANI mkamkejeli,akasema Bunge ni dhaifu mkamkejeli.
Kangi akamwita muongo mkamshangilia BUNGENI,haya yako wapi Leo.
Mkamuundia zengwe mkamtimua ofisini,.*ilituuma sana*
Haya* Nani muongo*?
View attachment 1332292
View attachment 1332293
Tuwe honest kidogo.Kisheria wanapaswa kupitia huko bungeni,lakini kama bunge limeacha wajibu wake na kugeuka kuwa dhehebu la kumsifia Magufuli na kutii kila jambo la serikali, nani ataheshimu bunge la hivyo?
Tuwe honest kidogo.
Ukondoo wa wabunge kutii kila kitu una tofauti gani na ukondoo wa wananchi wa Tz at large?
NopeWananchi wanatunga sheria? Wananchi wana uwezo wa kuisimamia na kuishauri serikali?
Dada uongo hupanda lift bali ukweli hukwea ngaziSiku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa nchini.
CAG alitoa taarifa kuwa kuna ubadhirifu kwenye wizara ya mambo ya NDANI mkamkejeli,akasema Bunge ni dhaifu mkamkejeli.
Kangi akamwita muongo mkamshangilia BUNGENI,haya yako wapi Leo.
Mkamuundia zengwe mkamtimua ofisini,.*ilituuma sana*
Haya* Nani muongo*?
View attachment 1332292
View attachment 1332293